TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

Kuna ngoma yake ya kitambo kidogo ilitoka baada ya chunga sana..ni ngoma anamuongelea mshikaji aliekua ameshika dini sana lakini kiundani jamaa alikua mwizi so Kuna siku alicheza dili na nafikiri akawazurumu wenzie so wakamvamia na kumuua kitu kama icho.
Imekua muda mrefu sana sikumbuki vizuri lakini kama Kuna mdau anakumbukumbu ya ngoma anaweza share nasi.
Ni ngoma kiitikio kamshirikisha mdau na bahati mbaya hata yeye jina lake silikumbuki.
Edited: Chorus yupo Maulo_Track Darasa
 
Mniwie radhi wakuu..naomba kama kuna mtu ana wimbo wa salu t ft maulo darasa auweke hapa niupakue..
 
Back
Top Bottom