TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

Pole Nyingi Sana Kwa Ndugu , Jamaa Na Marafiki Wote wa Salu T. Ametangulia, Nasi Tuko Njiani. Mwenyezi Atujalie Mwisho Mwema.
 
N
Sote njia yetu ni Moja....
R.I.P

Kuna msanii mmoja kwenye mashairi yake...
Aliwai kuweka stanza inayo sema...
SALUT KWA SALU T,
Kama sikosei atakua ni Nyandu tozi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Wasalaam
Kwa Sasa
+268
Nakumbuka. Nyandu Huwa Anajua Sana Kuwapa Respect Makaka Zake Kwenye Game.
 
Kwenye ngoma ya Witness watapata zero, kunamstari fid q aliimba, 'Chanzo cha mabaya namna zote ni pesa, na wasichana chunga sana alishasema SALU T'. Siku wahi kufuatilia SALU T ni nani hadi leo nasikia taarifa za msiba wake. Kumbe alikuwa rapa mzuri tu! RIP mwamba.
 
Ngoma yake ile hali ya hatari
Na sikio la kiziwi ni tight sana

Ova
Kuna ngoma yake ya kitambo kidogo ilitoka baada ya chunga sana..ni ngoma anamuongelea mshikaji aliekua ameshika dini sana lakini kiundani jamaa alikua mwizi so Kuna siku alicheza dili na nafikiri akawazurumu wenzie so wakamvamia na kumuua kitu kama icho.
Imekua muda mrefu sana sikumbuki vizuri lakini kama Kuna mdau anakumbukumbu ya ngoma anaweza share nasi.
Ni ngoma kiitikio kamshirikisha mdau na bahati mbaya hata yeye jina lake silikumbuki.
 
Baada Ryrical Mmoja kututoka LANGA KIREO kututoka Leo amekuja Ryrical mwingine SALU T au SALU TABA Daaaah!!! Lil HIP HOP Inazidi kupitia pagumu APUMZIKE KWA AMANI SALU TABA pengo hili kwetu wadau wa HIP HOP
"piga SALUTE Kwa SALU T"-SONGA
Ila Kuna album hiyo kaiacha HAZINA Tuenzi Kwa kussuport harakati.
 
Back
Top Bottom