Vipi kakisimama na weweNakapendaga haka kamdada kazurii, ila Sasa ndo sielewagi kamedumaa([emoji850][emoji850][emoji850])ama ni Nini maana ni kamuda mrefu ila sahivi kakisimama na akina Jennifer kanumba waweza dhani ni rika lake... [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye avatar pia... Hongera
Muonekano wa Mikala Enzi za Jumba la Dhahabu na Wa sasa unanitia Shaka anaonekana amedhoofu(Weak) as if kama anaugua Sicklecell au alipatwa na ugonjwa umkaathiri afya yake.Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu, naomba kujuzwa kuhusu msanii aliyetamba kipindi cha nyuma kidogo katika tasnia ya Bongo Movie hususani katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu.
Naomba kuwasilisha wadau.
View attachment 1307017
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uku upo?
Nakapendaga haka kamdada kazurii, ila Sasa ndo sielewagi kamedumaa([emoji850][emoji850][emoji850])ama ni Nini maana ni kamuda mrefu ila sahivi kakisimama na akina Jennifer kanumba waweza dhani ni rika lake... [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muonekano wa Mikala Enzi za Jumba la Dhahabu na Wa sasa unanitia Shaka anaonekana amedhoofu(Weak) as if kama anaugua Sicklecell au alipatwa na ugonjwa umkaathiri afya yake.
Unamfikia hata robo?Mbona kama hakui, karembo na kazuri kweli
Nasikia kawaka ana ngweYule director wao jumanne alikua anawapitia tu hao na jumanne mwenyewe ndio hivyo tena..tayari kitambo!
Hata mimi nilikuwa nakafananisha, ndo maana hata kwenye ile muvi ya The lost twins walimuweka Lulu na yeye Kama mtu 1Nilikuaga nakafananisha na Rulu muuaji wa kanumba.