kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Huyu 'Rulu' alimuua kanumba lini mkuu?Nilikuaga nakafananisha na Rulu muuaji wa kanumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu 'Rulu' alimuua kanumba lini mkuu?Nilikuaga nakafananisha na Rulu muuaji wa kanumba.
Vipi yule Fanta.Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu, naomba kujuzwa kuhusu msanii aliyetamba kipindi cha nyuma kidogo katika tasnia ya Bongo Movie hususani katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu.
Naomba kuwasilisha wadau.
View attachment 1307017
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama hakui, karembo na kazuri kweli
Hakika wanafanana sana.Hata mimi nilikuwa nakafananisha, ndo maana hata kwenye ile muvi ya The lost twins walimuweka Lulu na yeye Kama mtu 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 7 April 2012.
Nilikuaga nakafananisha na Rulu muuaji wa kanumba.
Chuz Kihangala ndio alikuwa anatembea na JINI KABULA ambaye na yeye Tayari,Kweli Gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo gumzo kwa mabronzo machizi masister du walimu na wanafunzi ni KAZEZE ni KAZEZE.Yule director wao jumanne alikua anawapitia tu hao na jumanne mwenyewe ndio hivyo tena..tayari kitambo!
Chuz Kihangala ndio alikuwa anatembea na JINI KABULA ambaye na yeye Tayari,Kweli Gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo gumzo kwa mabronzo machizi masister du walimu na wanafunzi ni KAZEZE ni KAZEZE.
Chain Kama Yote.
Chuz Kihangala ndio alikuwa anatembea na JINI KABULA ambaye na yeye Tayari,Kweli Gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo gumzo kwa mabronzo machizi masister du walimu na wanafunzi ni KAZEZE ni KAZEZE.
Inasikitisha Sana kwa kweli.Jini Kabula niliwahi muona Diamond Mwanza mwaka akiendelea kuwaunganisha watu kwenye Grid ya taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inavyodaiwa mikala alifariki muda sana kabla ya marehem kanumba
Huyo mwingine anayeonekana ni mdogo, ni mdogo wake nadhani pia aliongea kuna video YouTube