Msanii wa Jumba la Dhahabu anayeitwa Mikala yupo wapi?

Msanii wa Jumba la Dhahabu anayeitwa Mikala yupo wapi?

Kutakuwa kuna shida mahali maana badala ya ku increase yeye ana drop kiumbile
Screenshot_2019-12-31-08-17-33-1.jpeg
20191230211821.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jini Kabula niliwahi muona Diamond Mwanza mwaka akiendelea kuwaunganisha watu kwenye Grid ya taifa
Chuz Kihangala ndio alikuwa anatembea na JINI KABULA ambaye na yeye Tayari,Kweli Gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo gumzo kwa mabronzo machizi masister du walimu na wanafunzi ni KAZEZE ni KAZEZE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom