Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

Wakiwezeshwa wanaweza.....nadhani nao hiyo ndio njia yao ya kuwezesha hao wawezeshaji....huenda haikuvuka wala nini alidhamiria.
 
Alijiandaa kuonyesha cow bell zake mbona hakuvaa braa!
 
Duh!anamtindi wa ukweli wanawake wengine naona huwa wanashindwa kujiweka sawa unakuta yamelala kama ndala
1469967467333.jpg
 
Acha kukurupuka. Kujua kwamba kuna bra za kuvalia gauni kama hili huhitaji kuwa mwanamitindo. Kama hujui kitu uliza badala ya kukurupuka, "siyo kila dress lazima livaliwe na bra."

Kumbe nawe ni mwanamitindo.
 
Duh!anamtindi wa ukweli wanawake wengine naona huwa wanashindwa kujiweka sawa unakuta yamelala kama ndalaView attachment 373934
Wanawake mnawaonea tu. Eti yamelala kama ndala. Huyu ni mama wa watoto watatu kama sikosei, sasa ulitaka matiti yake yabakie kuwa saa sita? Hiyo aliyovaa ni "robe" na pengine katoka kukoga na sasa anarelax.

Wewe ungekuwa mwanamke ungefanyeje? Kama una dada au mama yao yakoje? I hate this women bashing wakati ni maumbile yao. Wakiweka cups au nipple za bandia napo shida mnaanza kulalamika mtindi wa Mchina. Mnataka wanawake wafanye nini? Yaani kuna wakati mpaka unawahurumia wanawake duh!
 
Acha kukurupuka. Kujua kwamba kuna bra za kuvalia gauni kama hili huhitaji kuwa mwanamitindo. Kama hujui kitu uliza badala ya kukurupuka, "siyo kila dress lazima livaliwe na bra."
Tatizo nn wewe si unajua mm mambo ya kike hayanihusu, anayepaswa kuyajua ni mwanamke mwenyewe au wale makonda anaosema tuwa unfollow,nahisi wewe huko katika kundi mojawapo maana unajua kweli kuhusu mavazi ya kike.
 
Tangu lini maziwa yakawa sehemu "nyeti" kwa Mwafrika? Kwa wazungu sawa lakini Waafrika mh...May be nyie wa huko Dar. Huku vijijini wanawake wananyonyesha mchana kweupe tena bila shida na makabila mengine matiti hayana dili kabisa yako nje nje tu hata kwa matineja.

Ukwri mtupu!
 
Back
Top Bottom