joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
wasafi tv,wasafi fm zenye show off.sema ally K hapendi show off eti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Na yule mwingine atakuja na nn sijui?
Heeeee hata uwoya hajui ladha yake? WTF!!!Mofaya ukooo istargramView attachment 994977View attachment 994978
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa huu umbea sasa !!!HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
HHEHEHEHEHEHEHEHEHEEHEEHE
HIHIHIHIHHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHI
HOHOHOHOHOHOHOHOHOHOHOHO
HUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHU
KWIKWIKWIKWIKWIKWIKWIKWIKWI
Acha nishushie na PEPSI BIG
hahahahha
Vp TV ya alikiba inaparikana king'amuz kipi tuitafute? Dstv ipo? [emoji849][emoji849][emoji849]
Nadhani sasa tushatambua nini kinafanyika...
•kuna waongeaji na watekelezaji....
•kuna mziki sauti na mziki biashara...
•kuna talented kama Lionel Messi na real
hustler mithili ya kina
Cristiano Ronaldo....
•kuna wabwetekaji na wapambanaji...
•kuna wanaoyatafuta mafanikio na
wanaolazimisha kufanikiwa....
•uchambuzi bado ni mrefu unaeza ongeza
na chako...
•na kadhalika.... na kadhalika... na kadhalika...
DHINAPIGWA THANA(in nay voice)mm nauliza hivi WASAFI FM NA WASAFI TV Je wanagonga nyimbo za ALIKIBA???
Kweli kabisa mkuu. Coz hata hz SGR Sijui! Treni za umeme zote tunaigaDiamond anaonyesha njia hakuna ubaya wowote kuiga jambo jema.
Huu uzi wako unaweza ukaufuta mara moja bado upo na hamna ukweli wa ulichokizungumziaHabari wakuu!
Huku wengine wakiendelea kujivunia kuchora mitattoo ya bei ghali na meno ya dhahabu.
Msanii wa kimataifa Alikiba yeye aendelea kuitumia vyema karata yake baada kupata Shavu la sony global deal, hii leo amezindua rasmi televevision yake "ALIKIBATV" ambayo itaanza kupatikana kwny DSTV pamoja na ving'amuzi mbalimbali. Dunia nzima watu mbalimbali watapata access ya kuitazama channel hiyo.
Hongera Kiba, gooo King Kiba..
View attachment 352091
#Repost @officialalikiba with @repostapp
・・・
Caption: MAJOR ANNOUNCEMENT #5: ALIKIBA LAUNCH ALIKIBA TV IN GLOBAL PARTNERSHIP WITH ROCKSTARTV
ALIKIBA channel to give fans, broadcasters, platforms and content licensors an All Access Rockstar Pass to everything in the world of Alikiba, world class around-the-clock content.
Subscribe to the official Alikiba YouTube and Facebook Channels, Rockstar TV channels, SoundCity and several other channels around the world to be announced soon...
@RockstarTelevision #RockstarTV #KingKiba #AlikibaTV #ROCKSTAR4000 @ROCKSTAR4000 @SoundCityAfrica #Aje #KingKiba
===============
Meneja wa Alikiba, Seven Mosha, afanunua nini kitakachokuwepo kwenye Alikiba TV
Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi naye, Rockstar4000 imetangazakuingia naye ubia kwa kuanzisha kile kilichopewa jina ‘Alikiba TV.’
Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa Kiingereza haijaeleweka vizuri na hivyo nimelazimika kumtafuta meneja wake, Seven Mosha kumuomba atupe ufafanuzi zaidi.
“Alikiba amezindua Alikiba TV ambayo ni content kuhusiana na kazi yake – matukio yote around him kikazi itakayokuwa inapatikana kwenye YouTube channel yake na pia itaanza kuoneshwa kwenye vituo mbalimbali tukianza na SoundCity,” Seven ameiambia Bongo5.
“Alikiba TV itakuwa chini ya mwavuli wa Rockstar Television,” ameongeza.
Kwa mujibu wa tangazo hilo zaidi ya Soundcity ya Nigeria, vituo vingine vya runinga dunian ivitakavyoshirikiana naye kwenye mradi huo vitatangazwa. Kwa sasa mashabiki wameombwa kusubcribe kwenye channel yake ya Youtube ili kutopitwa na chochote.
Wiki mbili zilizopita Alikiba alisainishwa recording deal na label maarufu duniani, Sony Music. Kiba anayefanya vizuri na wimbo wake Aje, amekuwa msanii wa pili baada ya Davido kusainishwa kile wanachokiita ‘global deal’ na label hiyo iliyo nyumbani kwa wasanii wakubwa duniani.
Chanzo:Bongo5
Huo ni uchawi kabisa...!Tv asilia.