joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kila siku anazindua kinywaji ,Kakizindua kwenye matangazo kombe la dunia,wakati akitoa mvumo wa radi,wakati wa funga mwaka yeye kila siku anafanya uzinduzi wa MoFaya anashindwa kutaja hata hizo distributions point ili watu kupata hizo MoFaya wamuunge mkono,hapo ndipo napohisi jamaa hana umiliki wowote zaidi ya ubalozi tu.Hiyo TV nayo ni changa la macho tu hamna kitu.