Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Champions league imeisha, lakini swali langu je hiyo TV itaonyesha na EURO16? Maana sisi wengine Ni wapenzi wa kandanda.

AlikibaTv ni Entertaiment oriented channel kama soundicty au east africa radio, kwahyo ni burudan zaidi.
 
Ametisha sana...

Ila meneja wake wafanye kazi, msanii anatoa hit songs za kutosha kwanini hawamtafutii shows? Mapato ya msanii kwa kiasi kikubwa yanatokana na shows, wanategemea awe bilionea kivipi?

Mkuu swal lako nishalijibu chini unaweza ukapiga show 10 za laki laki lakin mwenzako akapiga show 3 za milion milion, ndio kitu anachofanya kiba.

Pia kuhusu utajiri, kiba ni msanii mwenye fedha nyingi sema lifestyle lake hapend kushow off,
 

Mbona aliongea kwenye EFM kuwa analipwa 15mil per show akipiga playback na 20mil akipiga live... Hizo habari zako umezitoa kwenye gazeti la amani au wembe??

Anyway, mi niliongea kwa mazuri tu. Kama atakuwa anaandaa mwenyewe shows itakuwa poa cha muhimu awatumie mashabiki wake wanaotumia muda mwingi kutukana mitandaoni bila kujichangisha pesa za shows..
 
Mkuu swal lako nishalijibu chini unaweza ukapiga show 10 za laki laki lakin mwenzako akapiga show 3 za milion milion, ndio kitu anachofanya kiba.

Pia kuhusu utajiri, kiba ni msanii mwenye fedha nyingi sema lifestyle lake hapend kushow off,
Hapendi show off !!!! hii habari umeijuaje ............ na ile ya kufanya daladala tour je .................. na hivi viji mikataba tumejuaje kama si show off ................. na ile ya Joketi kujipendekeza kwake mbona kaisema yeye .................. na hizo picha tunazoziona je ????
 
Hongera Sana lakini nianze kuangalia mda gani hapa Azam TV?
 
Ametisha sana...

Ila meneja wake wafanye kazi, msanii anatoa hit songs za kutosha kwanini hawamtafutii shows? Mapato ya msanii kwa kiasi kikubwa yanatokana na shows, wanategemea awe bilionea kivipi?
Shows anapiga ila pesa ndefu Sana subiri swaumu ipite utaona tutakavyowatoa povu
 
Maji Marefu TV... mmhh TV zingine za kichawi..!!
 
Tujuze mkuu uzinduzi wa hiyo tv utafanyika wapi na lini na itakuwa saa ngapi? Tusemezane

Soma vizur hiyo habari, utarushwa soundcity tv, trace, mtv etc pia kwa nyie mlio online kuna link za kuona tukio hilo moja kwa moja tutazitupia, pia unaweza ukasubscribe kwenye youtube channel ya kiba au offical fb page yake tutatoa link.
 
Youtube chanel hata mimi ninayo.

Hahahaha lowasa alisema Elimu!! Elimu! Elimu!
Hivi umeilewa vizur hiyo habari? Ni hivi unatakiwa usubscribe youtube channel ya Kiba, au ufollow page yake fb au uwe karibu na tv zote kubwa dunian kama soundicity ili badae uweze kupata nafas ya kushuhudia tukio hilo la kihistoria la uzinduzi wa Alikibatv.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu povuuuuuu. Huu mchezo hautaki hasiraaaaaa.. Big up king kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…