Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Uongo mtupu..hana bavu hizo..stupidity.
 
Nimekuelewa sasa nataka ukubaliane na mimi kuwa ana kiasi hiki cha pesa. Nimejaribu kukuwekea link itakayokuwezesha kuona viwango tofauti vya pesa ili angalau humudu kuanzisha hiyo unayoita wewe " Alikiba TV" nakuomba wewe mwenye elimu usome hapa. How much would it cost to start a TV channel? - Quora
 

Mil 15 per show! Nafikiri ndio maana ana ukame wa shows.. Hakuna anaeweza kufanya biashara kichaa ya kumpa Kiba mil 15 uku akitegemea hasara mara mia utafute wasanii wa million 3 wa 5 biashara itaonekana. Poor him.
 
Hizo ulizozutaja ni online tv, Huwez kuipata dstv au azam, ila hii ya kiba sio Online tv, ni tv kama Cloudz tv, East Africa tv, itv, mtv etc

kwahiyo ameanzisha kituo cha television? au anamaanisha kama zile Liverpool TV , man chester united TV ?
 

Mkuu mbona hako kahela kadogo sana anaweza hata akamfungulia na wemasepetu, abdu kiba, petiti man kila mtu TV yake, King Kiba ni bilionea wa kutupwa basi tu hapendi kujionesha alshabab wakazivamia kariakoo...
 
Hahaha mkuu huo utani wa mabomu kwa wakereketwa wake, ngoja waje na takwimu hapa..

Koroga festival show alopiga kiba ilikuwa ni tukio la 3 kihistoria kenya mwaka jana kwa kujaza watu, tukio la kwanza ilikuwa ni ujio wa Obama na tukio la 2 kwa kujaza watu ni ujio wa papa. inasemekana kiba aliingiza pesa nyingi sana, show imemfunguliwa milango mingi, ikiwemo deal la sony, pia jiandae kisaikolojia mwaka huu tuzo za mtv king ndan ya nyumba.

Nisimalize uhondo wote, habar zote utakuwa unazipata live kupitia Alikibatv, uwiiiiii
 
Mil 15 per show! Nafikiri ndio maana ana ukame wa shows.. Hakuna anaeweza kufanya biashara kichaa ya kumpa Kiba mil 15 uku akitegemea hasara mara mia utafute wasanii wa million 3 wa 5 biashara itaonekana. Poor him.

Kwa taarifa yako hiyo ni hela ndogo sana, tena milion 15 ni bei ya wasanii kama yamoto band, harmonize. Tena wewe kama ni promoter ukimpigia simu kiba umwambie una M15 basi anaweza akakutukana kabisa.
 
Sasa mkuu hiyo nayo kwa mwanamziki kama Kiba ni hela basi au hela ya mboga?
Kama ni hivo nimekuelewa,hongera kwa kuweza kumpamba mtu wako,na kuna watu wamekuamini. Mimi na shobo yote niliyonayo kwa DIAMOND lakini sifikii ufagio wako kwa kiba.
 

Umetisha sana mkuu.. King kiba 4 life. mwakani had I Grammy inakuja hadi kariakoo..
 
Kusema ukweli kibongobongo kuanzisha label ni more profitable than TV,angalia leo hii wale jamaa wanashambulia karibia tz nzima na kuingiza pesa,na wale vijana wapya wawili wametoka juzi tu lakini sasa hivi wana influence kubwa ya kujaza show, King akiendelea kushangaa nao watampita kwa maendeleo.
 
Kwa taarifa yako hiyo ni hela ndogo sana, tena milion 15 ni bei ya wasanii kama yamoto band, harmonize. Tena wewe kama ni promoter ukimpigia simu kiba umwambie una M15 basi anaweza akakutukana kabisa.
Pole sana nilikuwa kwenye entertainment industry kwa muda mrefu so still bado najua 123 za biashara ya muziki.. Najua bei za wasanii ndio maana nimeshangaa hiyo bei ya Kiba kwa biashara ipi ya kufanya na Kiba... Ukijiroga uingie mfukoni ufanye biashara kichaa kama hiyo imekula kwako.. Msanii pekee ambaye biashara yake ni uhakika ni Diamond labda na Weusi ukifanya promotion nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…