Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Kwa hiyo ile ya bongo man haioni ndani siyo?!
 

Mkuu kingkiba ni jeshi la mtu mmoja, pia nataka nikujuze tu, Kiba anaanzisha chuo cha mzki kama ilivyo THT, ndiomana kasema mwaka huu ni #NewYearNewKingkiba
 

Sasa umekuwa kwenye industry miaka mingi lakin mziki umechange sana, wasanii wanaosimamiwa na seven mosha wanajielewa sana, ndiomana siku hizi haendi kwenye show za mapromoter bali management ndiyo inayoandaa show ya msanii, mfano utaona funga mwaka na kingkiba ilivyokuwa tukavuta mounga wa maana, pia kama unavyoona Show za Jaydee naamka tena concert zote zinaandaliwa na management sio promoter,
 
Kwa hiyo ile ya bongo man haioni ndani siyo?!

Sio tu hii ya bongo bali mwaka jana kwa east africa hakuna msanii alofanya show kubwa na yenye watu weng kama ile ya koroga festival.
 


samahani huyo seven mosha na David mosha le bilionea ( mbunge kivuli wa moshi ) ni ndugu?
 
Kama ni TV ya king'amuzini kabisa nampa hongera sana kIng Kiba, ila kama ni zile tv kama global tv, sijui le mutuz tv hamna kitu.
 
Na yule mwingine atakuja na nn sijui?
Kwahiyo hii umeiamini ........... wewe kweli ni panzi kama sio sisimizi,mtu anakuambia NI KAMA STAR TV AU TBC. Sasa kwa akili ya kawaida si na wewe unatakiwa ujiongeze.
 
Kuanzisha Tv yako si kazi ya kitoto kunahitaji mwendelezo wa matukio ya kuvutia,tumtakie tu kila la heri kama ni kweli, isije ikawa ni kama akina ubaya sepetunga na kipindi chake cha 'ndani ya viatu'
 
Mwaka jana show ya tigo kiba unajua alipwe tshs ngap na diamond unajua alikula tshs ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…