Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Wakati mwingine sio lazima roho kukuuma kwa hatua aliyopiga mwenzio, utakufa kwa vidonda vya tumbo maana una wivu mbaya wa kutaka kuona wote mnakosa.

Ushauri wangu kwako: Uruhusu moyo na nafsi yako vifurahie mafanikio ya wenzako, maana kutokana na mafanikio yao nawe utafunguliwa milango mingine kwa ajili ya mafanikio yako.
 
Kinachoshangaza ni pale masikini anapotaka tajiri ashuke chini wote wawe masikini badala ya kupambana apande juu wote wawe matajiri
 
-Kwani wewe ni manager wake au?
-Au wewe ni nani katika mziki au maisha yake wa kukanusha habar zake?
Alikiba si yupo ataelezea mwenyewe au management yake lakini hauwezi kuwa wewe. Watanzania wengi mmejazia matope vichwani mwenu ndo maana mnashidwa kuchambua lipi ni jema na lipi ni lina faida mnakalia kuwa watu wa matukio matukio tu na hoja zisizo na msingi na mwisho wa siku mnaishia kuaibika tuu. Kila mtu anao uhuru wa kusema anachojisikia ili mradi havunji sheria za inchi. Na tatizo kubwa linalowakumba ni kutokuwa watu wa kukubali mchango wa mtu hata kama ni mdogo. Most of us ni ma HATER tu tusio na hata haya.

Ok kiba kaanzisha youtube chanel nilitegemea apongezwe kwa sababu kawa innovative. Hata kama wewe unaiona ni ndogo but kwake inaweza kuwa na faida. You must to think big men. You can't be with narrow mind like u have mkuu. Ufike wakati tuwe tuna appreciate vitu na watu wanaofanya vizuri bila kujali ni kikubwa kiasi gani kwako.
-Kama tusipo kuwa watu wa kufikiri na kuheshimu kazi za watu tutaishia kuwa na individualization na kwenda hatua kumi mbele na kurudi hatua mia nyuma.
Kiba ni mwanamziki vilevile ni mtanzania mwnye jukumu la kuupaisha mziki wetu. Why are u crashing him?

Dunia ni yako na uchaguzi ni wako. Ila umetukaribisha kwenye tv yako tutakalibia
 
Huu ni mpango wa miaka 2 nyuma, hela ya sony tutaitumia kwa mambo mengine, tv ilikuwa na budget yake na mikakati yake.
 
blaza hapo kwenye kingereza umeipoteza sana yani tulikuwa tunaenda powa ila ulivoanza kunichanganyia kingleza sijaelewa kabisa.
wewe unayo hata online radio?

kama huna basi mpe alikiba hongera zake
ndio nnayo mkuu
 
TV ya Kiba hata MTV wenyewe watasubiri. Labda hata Ile In My Shoes itahamia huko.
 
Mungu hakuumba binadamu muwe na chuki ivi asee badilika acha dhambi bana mkonje
 
 
 
Kwa taarifa yako hiyo ni hela ndogo sana, tena milion 15 ni bei ya wasanii kama yamoto band, harmonize. Tena wewe kama ni promoter ukimpigia simu kiba umwambie una M15 basi anaweza akakutukana kabisa.
 
J

Jambo hili ni jema sana kwa sisi Watanzania wote tunaopenda maendeleo ya wasanii wetu lakini unapoteza mantiki unapomshambulia msaniii mwingine wa TZ bila sababu zozote za kimsingi. Diamond is still Diamond na analiletea sifa sana Taifa hili, kwanini wewe unamfuatafuata sana kwani huwezi andika habari za Kiba pasi na kumtaja Diamond? Acha upuuzi wako
 
Unateseka kumfagilia huyu msanii asiye na makazi, hela ya kibakuli inatosha kununua visuruale njiwa tu, hana jeuri yoyote zaid ya nyie mashabik vilaza mnaomjaza sifa za uongo. Achen kushindanisha passo na Lamborghini
 
ww nae sasa tour utaifichaje wkt target ni mashabiki zake ? mkataba wa Sonny ataufichage wkt ni promotion ya mziki , au huelew maana ya showoff na marketing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…