joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sawa mwalimu wangu,hebu niambie wewe maana ya showoff ???ww nae sasa tour utaifichaje wkt target ni mashabiki zake ? mkataba wa Sonny ataufichage wkt ni promotion ya mziki , au huelew maana ya showoff na marketing
Haita fanana hivyo ni kipindi tu kitakua pale DSTV, hakuna studio ya kutayarishia vipindi. Halafu ungesema tu msanii wa kitanzania ingetosha, hii wa kimataifa ni vizuri zaidi kuitumia kwa wageni, ila wakienda huko nje ndiyo wataitwa hivyo.Hizo ulizozutaja ni online tv, Huwez kuipata dstv au azam, ila hii ya kiba sio Online tv, ni tv kama Cloudz tv, East Africa tv, itv, mtv etc
Yah ndicho anachokusudia Kiba.Hata simba tv huwa inaonekana Azam tv yaan tv ndan ya tv hahahaaa.
We siku hizi umeokoka au? Umebadilika sana.Ungeandika hii habari bila vijembe mbona ingenoga tu mwana
haya niliyoyaandika jana ndo amesema meneja wa alikiba leo. tatizo mnafijiri kila mtu bwege. unadhani kuanzisha tv ni mchezo.? nlisema kuwa atakuwa anaandaa vipindi visivyozidi dk60 na kuvisambaza katika tv mbali mbali watu wakanambia nina wivu. haya wapi huyo tv sasa.?Mungu hakuumba binadamu muwe na chuki ivi asee badilika acha dhambi bana mkonje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtani bana, karibu ugali dagaa.hela ya kuanzisha simba tv, mwenzako kaitumia yote kuweka meno ya dhahabu kwahiyo haiwezekan inabidi tu mje mumnyenyekee Kiba apige nyimbo zenu kwenye Tv yake hahahaha
sio wivu nilikuw nawaelewesha tuu na nadhani sasa mmeelewaWakati mwingine sio lazima roho kukuuma kwa hatua aliyopiga mwenzio, utakufa kwa vidonda vya tumbo maana una wivu mbaya wa kutaka kuona wote mnakosa.
Ushauri wangu kwako: Uruhusu moyo na nafsi yako vifurahie mafanikio ya wenzako, maana kutokana na mafanikio yao nawe utafunguliwa milango mingine kwa ajili ya mafanikio yako.
Kumbe muda wote huo mnaongelea you tube channel? Au tv ndani ya TV? Sasa mbona hata Millard ayo na shafii,Ay na na mkasi wanazo hizo? Mbona Kiba anapoteza muda kwenye mambo ambayo ni ya kawaida sana? Kwa hiyo siku zote hizo alikuwa ana subiri nini?Msichukulie poa You tube channel Mazee.....kama ina support ya viewers ni kubwa kuliko TV.
Ila Kiba si anayo You tube Channel toka kitambo.....sema ishu bado kupata subscribers. Itambidi afanye kazi ya ziada mwenzake Mondi ana subscribers 280k ilihali Kiba anacheza kwenye 48k.....nadhani ndio maana anasisitiza mu subscribe pale.
mimi ni mfuasi wa dhana ya mabadiliko, siwezi kuwa vilevile, kwanza mambo ya vijembe siyapendi basi tu siwezi kumzuia mtu na kibodi yakeWe siku hizi umeokoka au? Umebadilika sana.
kujenga nyumba ya mama yako alf utangazie watu hizo ndo showoffSawa mwalimu wangu,hebu niambie wewe maana ya showoff ???
Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamiziinayofanya kazi naye, Rockstar4000 imetangazakuingia naye ubia kwa kuanzisha kilekilichopewa jina ‘Alikiba TV.’
Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa Kiingereza haijaeleweka vizuri na hivyo nimelazimika kumtafuta meneja wake, Seven Mosha kumuomba atupe ufafanuzi zaidi.
“Alikiba amezindua Alikiba TV ambayo ni content kuhusiana na kazi yake – matukio yote around him kikazi itakayokuwa inapatikana kwenye YouTube channel yake na pia itaanza kuoneshwa kwenye vituo mbalimbali tukianza na SoundCity,” Seven ameiambia Bongo5.
“Alikiba TV itakuwa chini ya mwavuli wa Rockstar Television,” ameongeza.
Kwa mujibu wa tangazo hilo zaidi ya Soundcity ya Nigeria, vituo vingine vya runinga dunian ivitakavyoshirikiana naye kwenye mradi huo vitatangazwa. Kwa sasa mashabiki wameombwa kusubcribe kwenye channel yake ya Youtube ili kutopitwa na chochote.
Wiki mbili zilizopita Alikiba alisainishwa recording deal na label maarufu duniani, Sony Music. Kiba anayefanya vizuri na wimbo wake Aje, amekuwa msanii wa pili baada ya Davido kusainishwa kile wanachokiita ‘global deal’ na label hiyo iliyo nyumbani kwa wasanii wakubwa duniani.
View attachment 352086