joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
TV sio masiala nyie, kwa jinsi nilivyoelewa mm kupitia BONGO5 Alikiba TV itakuwa haina tofauti na diary of Lady Jay dee au in my shoes ya wema ila wanajitahidi iwe inaonekana maeneo mengi, kwa kuanzia wameanza na sound city na kwa wale ambao hawana access ya kunasa sound city wa subscribe ktk youtube channel ya Ali kiba. Ila kuhusu swala la TV kama TV sio masiala cha msingi tu nae awe bingwa wa kugenerate matukio, Kiki. Ila sio mbaya atakuwa ametoa ajira kwa makamera man, editor na maphotographer ishu yake haina tofauti na REALITY SHOW kama zile za wema na jide.