Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Cku iz hiz tv hapa bongo zipo kama buku ivi , mara sadick tv _ayo tv_ cjui upuuz gan tv... Na mimi ninayo ruzyTV..

Hongera sana
Ila tatizo watanzania walijua ni station ya kideo kama vile ITV n.k
Joti Tv,BOngo5 Tv,hahaahahaha
 
Itakuwa inarusha na ?

Music
News
Isidingo the need
The Sunset Beach
or?
please update😀
 
Hii itakuja kufa kifo cha mende kama ilivyokufa G TV
 
Kuanzisha TV ni rahisi sana lakini uendeshaji wake ni mgumu mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kuna baadhi ya matajiri wameingia kwenye biashara hii wanajuta. Labda zile TV za kurecodi clip na kuziweka you tube ndio havina garama.
 
Hongera zake
 
Wabongo kwa ujinga bwana, ndiyo maana majirani zetu wanatucheka. Kiba bora tu awe mtangazaji wa luninga, yaani jamaa kaishiwa kimuziki vibaya sana na inaonyesha kuwa muziki ni kipaji si kubebwa tu kwani utabebwa na kujilazimisha kuwa wewe ni mwanamuziki ila ukweli huko pale pale, muziki ni kipaji ambacho Kiba hana, period.
 
Mmenikumbusha mbali sana . ivi Simba Tv ilifia wapi?
 
Kamini suni ni miezi minne tangu tuambiwe kamini suni hata ije signal test basi tuone sindelela ikioneshwa ALIKIBA TV
 
HUKU WENGINE WAKIENDELEA KUNUNUA MAJUMBA MAKALI S.A NA MIMENO YA DHAHABU WACHA SISI TUENDELEE KUSUBULI KAMINI SUNI
 
Sony walimtia ndimu ili akolee.Amuulize Jacko ili apate majibu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…