Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀
😂😂😂😂😂Brother AdvocateFi hivi ile channel ya Kiba DSTV inashika namba ngapi?
Tuambie brother husikimbie uzi wako,huu umeufungua mwenyewe tunataka majibu.
Naona una account yako Instagram unawapiga Kamba na mtu akikukosoa unampa block.
😀😀😀TV yetu ipo na tupo on air kipindi ila hatupendi kujitangaza na kuji show.
😀😀😂😂😂😂😂
😀😀😀TV imerogwa na Diamond. Yule jamaa ana roho mbaya sana yule, ndio maana kazaliwa Manzese.
Fanya kazi acha kuteseka na maisha ya watuHuyu jamaa kila anachokifanya Diamond lazima nae atajikakamua kukifanya Diamond anamiliki WCB na Wasafi TV ,nae kajitutumua anataka kumiliki AlikibaTv,mara Ditector wa Rockstar alafu mwisho wa siku sijui vitu vyake vinaishiaga wapi.
Anapenda kiki ila anajificha ktk mgongo wa Diamond ,hapa kati katoa maboko kibao,kakaa chini akaaona hapa hili nitrend nimtumie Hamisa kama Video vixen,kweli strategical mpaka sasa kafaulu,sasa tujiulize hili Dodo watu wamelipenda sababu ya Kiba au Hamisa jibu utalipata baada ya week.
RobidinyoHuyu jamaa kila anachokifanya Diamond lazima nae atajikakamua kukifanya Diamond anamiliki WCB na Wasafi TV ,nae kajitutumua anataka kumiliki AlikibaTv,mara Ditector wa Rockstar alafu mwisho wa siku sijui vitu vyake vinaishiaga wapi.
Anapenda kiki ila anajificha ktk mgongo wa Diamond ,hapa kati katoa maboko kibao,kakaa chini akaaona hapa hili nitrend nimtumie Hamisa kama Video vixen,kweli strategical mpaka sasa kafaulu,sasa tujiulize hili Dodo watu wamelipenda sababu ya Kiba au Hamisa jibu utalipata baada ya week.
Sawa mwenzangu mwenye KAZI ya kuzurula Jamii Forum.Fanya kazi acha kuteseka na maisha ya watu
Huyu jamaa kila anachokifanya Diamond lazima nae atajikakamua kukifanya Diamond anamiliki WCB na Wasafi TV ,nae kajitutumua anataka kumiliki AlikibaTv,mara Ditector wa Rockstar alafu mwisho wa siku sijui vitu vyake vinaishiaga wapi.
Anapenda kiki ila anajificha ktk mgongo wa Diamond ,hapa kati katoa maboko kibao,kakaa chini akaaona hapa hili nitrend nimtumie Hamisa kama Video vixen,kweli strategical mpaka sasa kafaulu,sasa tujiulize hili Dodo watu wamelipenda sababu ya Kiba au Hamisa jibu utalipata baada ya week.
Naona umeandika vitu vilivyo kwenye akili yangu.Huyu jamaa kila anachokifanya Diamond lazima nae atajikakamua kukifanya Diamond anamiliki WCB na Wasafi TV ,nae kajitutumua anataka kumiliki AlikibaTv,mara Ditector wa Rockstar alafu mwisho wa siku sijui vitu vyake vinaishiaga wapi.
Anapenda kiki ila anajificha ktk mgongo wa Diamond ,hapa kati katoa maboko kibao,kakaa chini akaaona hapa hili nitrend nimtumie Hamisa kama Video vixen,kweli strategical mpaka sasa kafaulu,sasa tujiulize hili Dodo watu wamelipenda sababu ya Kiba au Hamisa jibu utalipata baada ya week.
Nje ya maada kidogo una maana gani kujiita 0719?Huyu jamaa kila anachokifanya Diamond lazima nae atajikakamua kukifanya Diamond anamiliki WCB na Wasafi TV ,nae kajitutumua anataka kumiliki AlikibaTv,mara Director wa Rockstar alafu mwisho wa siku sijui vitu vyake vinaishiaga wapi.
Anapenda kiki ila anajificha ktk mgongo wa Diamond ,hapa kati katoa maboko kibao,kakaa chini akaaona hapa hili nitrend nimtumie Hamisa kama Video vixen,kweli strategical mpaka sasa kafaulu,sasa tujiulize hili Dodo watu wamelipenda sababu ya Kiba au Hamisa jibu utalipata baada ya week.
Number yangu ya mtihani ya 4m4 kwani wewe umeelewa nini.
😀😀😀T tena kipindi hiki cha corona ukitulia zako home unacheki tu vipindi bomba kwa KibaTv huku unashushia na MoFaya.
Bro vipi ilishazinduliwa?Hahahaha lowasa alisema Elimu!! Elimu! Elimu!
Hivi umeilewa vizur hiyo habari? Ni hivi unatakiwa usubscribe youtube channel ya Kiba, au ufollow page yake fb au uwe karibu na tv zote kubwa dunian kama soundicity ili badae uweze kupata nafas ya kushuhudia tukio hilo la kihistoria la uzinduzi wa Alikibatv.