TANZIA Msanii wa maigizo maarufu Bi Sonia afariki dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Bi Sonia' amefariki dunia.

Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa group amefariki leo, mjini Zanzibar ambapo alikuwa anauguzwa na mwanae.

Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitisha taarifa hizo, huku msiba ukitarajiwa kufanyika huko huko Zanzibar.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Apumzike kwa amani.

1658393817764.jpeg
 
So sad i remember her!! RIP Sonia....
 
Namkumbuka alikua na kigugumizi fulan hivi,,,,Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi![emoji1374]
 
Back
Top Bottom