TANZIA Msanii wa maigizo maarufu Bi Sonia afariki dunia

TANZIA Msanii wa maigizo maarufu Bi Sonia afariki dunia

MAOMBI YA MKOPO HESLB, VYUO, NACTE, RITA

Kama una mtoto, ndugu, jamaa au wewe mwenyewe unajiandaa kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka huu:

Karibu nikusaidie kwa huduma zifuatazo:

1.Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa, Rita

2. Kutuma maombi nafasi za masomo ya vyuo vikuu

3. Maombi ya mkopo, bodi ya mkopo elimu ya juu HESLB

4. Maombi NACTE

Piga namba hizi:0683992623
0628368636(ofisi)

Kwa wakazi wa Kitunda, Matembele, Banana na Fremu kumi tafadhali fika ofisini Fremu kumi Mwisho wa gari, kwa ushauri zaidi.

Ushauri ni bure, Piga nikupe mwongozo wa kielimu.
Tafadhali mfikishie muhusika(share).
Inna lilahi waina ilaihi rajiun
 
Rest easy Bi Sonia Series

Kwenye kapuni uliicheza vizur character uliyopewa
 
Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Bi Sonia' amefariki dunia.

Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa group amefariki leo, mjini Zanzibar ambapo alikuwa anauguzwa na mwanae.

Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitisha taarifa hizo, huku msiba ukitarajiwa kufanyika huko huko Zanzibar.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Apumzike kwa amani.

Habari ya kushtusha sana hii. Nimemuangalia sana huyu mama. Innah rirah wainah rirah rajiun
 
Inasikitisha, ila ukweli ni kwamba soote tutakufa.

Apumzike salama.
 
Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Bi Sonia' amefariki dunia.

Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa group amefariki leo, mjini Zanzibar ambapo alikuwa anauguzwa na mwanae.

Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitisha taarifa hizo, huku msiba ukitarajiwa kufanyika huko huko Zanzibar.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Apumzike kwa amani.

Alikuwa hana mume eeeh
 
Back
Top Bottom