TANZIA Msanii wa maigizo maarufu Bi Sonia afariki dunia

Inna lilahi waina ilaihi rajiun
 
Rest in peace MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA JINA LAKE LIIMIDIWE
 
Apumzike kwa amani bi Sonia
 
Rest easy Bi Sonia Series

Kwenye kapuni uliicheza vizur character uliyopewa
 
Habari ya kushtusha sana hii. Nimemuangalia sana huyu mama. Innah rirah wainah rirah rajiun
 
Weeee!!!!.Mungu ampuzishe anapostahili
 
Inasikitisha, ila ukweli ni kwamba soote tutakufa.

Apumzike salama.
 
R.I.P kuna scene moja na Mlela wakicheza kitu ilikuwa live vile full ...
 
Alikuwa hana mume eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…