Msanii wa muziki wa hip hop(Chemical) amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management

Msanii wa muziki wa hip hop(Chemical) amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management

Huyo kasoma udsm

Hiyo kozi ya Archeology sio nyepesi Udsm

Jamaa kibao huwa wanakimbia na kuliwa vichwa

Hakuna course rahisi Udsm utasumbuliwa mpaka utakoma kwanini hukwenda udom, Mzumbe au IFM

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Mambo ya kizamani hayo, mbona wengi waliomaliza mzumbe, IFM, CBE degree wanafanya masters zao udsm na wanatusua fresh tu.
 
Nimecheka sana yule kapinda vile atakumbuka hata kufanya assignment kweli.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] anamzungumzia Rosa ree eeh [emoji23][emoji23][emoji23] mtoa ulimi njee
 
Mleta mada Prince Harry alimaliza GSCE na D mbili ga kwenda hata A level.
 
Back
Top Bottom