Godo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,089
- 1,468
Nimecheka sana yule kapinda vile atakumbuka hata kufanya assignment kweli.Yule mwenzake ana elimu gani....??? Yule anasemaga aanhaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana yule kapinda vile atakumbuka hata kufanya assignment kweli.Yule mwenzake ana elimu gani....??? Yule anasemaga aanhaa!
Mambo ya kizamani hayo, mbona wengi waliomaliza mzumbe, IFM, CBE degree wanafanya masters zao udsm na wanatusua fresh tu.Huyo kasoma udsm
Hiyo kozi ya Archeology sio nyepesi Udsm
Jamaa kibao huwa wanakimbia na kuliwa vichwa
Hakuna course rahisi Udsm utasumbuliwa mpaka utakoma kwanini hukwenda udom, Mzumbe au IFM
Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Yule anayetoa ulimi nje sioYule mwenzake ana elimu gani....??? Yule anasemaga aanhaa!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] anamzungumzia Rosa ree eeh [emoji23][emoji23][emoji23] mtoa ulimi njeeNimecheka sana yule kapinda vile atakumbuka hata kufanya assignment kweli.