Siri za familia ,maododosijui mabeki tatu wataangalia nini?
Huyu mtu ndo simuangaliagi kabisa. Yaani yeye na wanawake kila akicheza filamu inaboa ukizingatia kwamba vijana ambao bado wanahitaji kuongozwa wakiona maisha anayoigiza wanahisi ni ya kweli hivyo wao pia hujikuta wanachukua tabia zile.Msanii wa siku nyingi wa bongo movie Jb amestaafu kuigiza bongo movie, hii imesikitisha sana wadau wa sanaa, kuanzia mashabiki hadi wasanii wenzake..
Team bajajiWalikata viuno sana enzi za campen
Hivi huyo Jb ndo yupi?Aisee sasa mi nilikua nikijikaza sana naangalia movie za Jb au Gabo sasa ndo basi tena
JB nilikuwa namkubali kuliko kanumba. Alikuwa anaongea vitu sense sana. Ila wote walikuwa na plot mbovu mno. Kanumba kuna muvi watoto wanamuuliza why. ilinikosesha raha sana.Bongo movie ilishakufa na Kanumba