nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Siangaliagi hizo muvi zao wanazoita bongo mubi ila nafikiri wamekufa rasmi walipojipeleka kule mbeya wakati wa kampeni za 2015 na kuingia ubia na maccm..njaa ya muda mfupi imeua shibe ya mda mrefu,.aende zake na apotee kabisa...kuna kipindi hili jamaa lilikuwa jirani yangu maeneo ya ubungo karibu na jeshini,mambo yanamsitiri...