Msanii wa siku nyingi wa bongo movie Jb amestaafu kuigiza bongo movie,

Msanii wa siku nyingi wa bongo movie Jb amestaafu kuigiza bongo movie,

Siangaliagi hizo muvi zao wanazoita bongo mubi ila nafikiri wamekufa rasmi walipojipeleka kule mbeya wakati wa kampeni za 2015 na kuingia ubia na maccm..njaa ya muda mfupi imeua shibe ya mda mrefu,.aende zake na apotee kabisa...kuna kipindi hili jamaa lilikuwa jirani yangu maeneo ya ubungo karibu na jeshini,mambo yanamsitiri...
 
Huyu mtu ndo simuangaliagi kabisa. Yaani yeye na wanawake kila akicheza filamu inaboa ukizingatia kwamba vijana ambao bado wanahitaji kuongozwa wakiona maisha anayoigiza wanahisi ni ya kweli hivyo wao pia hujikuta wanachukua tabia zile.

Astaafu tu. Mimi Sipendi ujinga
hahaaa
 
Sekta hii inaelekea kuzama inahitaji aibuke mtu mwenye kiu ya kufika mbali kama alivyoibuka diamond kwenye mziki ndipo wengine nao watafuta.
Hawawekezi vya kutosha kwenye production, unakuta mtu mmoja ndiye anaandika script za 80% ya movies zao.
Hawakk serious, budget ndogo, wanaangalia zaidi makalio na maumbo ya waigizaji wa kike kuliko vipaji.
Kanumba alikufa na bongo movie yake
 
Back
Top Bottom