Msanii wa siku nyingi wa bongo movie Jb amestaafu kuigiza bongo movie,

Msanii wa siku nyingi wa bongo movie Jb amestaafu kuigiza bongo movie,

Msanii wa siku nyingi wa bongo movie Jb amestaafu kuigiza bongo movie, hii imesikitisha sana wadau wa sanaa, kuanzia mashabiki hadi wasanii wenzake..


Huyu mtu ndo simuangaliagi kabisa. Yaani yeye na wanawake kila akicheza filamu inaboa ukizingatia kwamba vijana ambao bado wanahitaji kuongozwa wakiona maisha anayoigiza wanahisi ni ya kweli hivyo wao pia hujikuta wanachukua tabia zile.

Astaafu tu. Mimi Sipendi ujinga
 
Dah jamaa namkubali sana! Hongera yake kila lenye mwanzo lina mwisho
 
Miezi kadhaa iliyopita alisema anatoa movie ya mwisho afu anastaafu naona mda umefika
 
Ameshakunya, kaua Tasnia hii yeye na wenzie sasa anakimbia!!! History itamuhukumu!
 
Jamaa kaona kuuza sura hakuna mpango....kaamua kuwa Director na Producer tu.
 
Maamuzi ni yake kila la kheri au anataka watu waandamane kumuomba arudi penye fani itakuwa kiki flan ila kama ni jumla namtakia mafanikio huko aendako
 
Bongo movie ilishakufa na Kanumba
JB nilikuwa namkubali kuliko kanumba. Alikuwa anaongea vitu sense sana. Ila wote walikuwa na plot mbovu mno. Kanumba kuna muvi watoto wanamuuliza why. ilinikosesha raha sana.
 
Back
Top Bottom