Msanii Wakazi amewahi kuimba wimbo gani ukamfanya awe msanii? ana tofauti gani na Steve nyerere?

Msanii Wakazi amewahi kuimba wimbo gani ukamfanya awe msanii? ana tofauti gani na Steve nyerere?

Hana hits ila huwezi kusema kuwa sio msanii

Sumu ya panya

Oguelegba remix

Huyu mwamba ana hadi album inaitwa kisimani na ina mawe ya kutosha,,sio wakumunderrate kihivyo wazee

United Fan
 
Wakazi nimeanza kumjua baada ya kuweka MABIFU kwenye yuotube ila na mie sijui hata wimbo wake ulio_hit..........Hapa nazungumzia Automatic ajulikane kama ngoma ya whozu huendi mbinguni lazima utaijua bila hata kuifatilia.
 
Kwanini lazima sanaa imlipe au watu wajue nyimbo zake jamaa kifamilia inaonekana wanauwezo mana nilimjua kitambo kipindi yupo marekani anafanya mziki kiujumla jamaa anafanya mziki kama hobbie na anaoneka hana njaa
 
Wasalaam wana jamvi?
Nimeona leo niulize utoafauti kati ya steve na Wakazi kwenye sanaa hasa mafanikio ni upi?
Binafsi naona wote wamekaa ki uhanaharakati sana kuliko kazi zao za sanaa...

Mfano ukiniuliza ni movie gani unaijua aliyofanya steve siwezi kukujibu maa ana uwezo wa kuzungumza kila jambo kuliko kuigiza...
Hata kwa Wakazi ukiniuliza amefanya wimbo gani hit ukamtambulisha kwa watu au ana wimbo gani mzuri siwezi kukujibu maana ana ongea sana kuliko nyimbo zake.....

Steve na Wakazi wote wana matatizo yanayo fanana kabisa...
Wote wanapenda mashindano
Wote wanapenda kiki
Wote wanapenda kuongea sana
Wote fani zao nimewashinda
Umeleta huu uzi sababu alimuiongelea makonda?au ni maoni yako tu binafsi.
 
Mi niliposikia "wakazi" nilidhani labda kundi la mziki kumbe mtu mmoja,sijui hata nyimbo zake,ila bongo vituko vingi ukiwa na followers wengi Instagram ushakuwa star na media zinakuhoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono Hoja haswa kwa Steve nyerere, Jamaa hamna kipaji chochote cha kuigiza ila ndo ivo anatawala industry, Events zote humtoi..Wakazi nilikuja kumsikia alivyopiga picha na kanye west pia alivo related na Komando Jay dee ila up to now sijawahi sikia Nyimbo yake Hata moja
 
Wasalaam wana jamvi?
Nimeona leo niulize utoafauti kati ya steve na Wakazi kwenye sanaa hasa mafanikio ni upi?
Binafsi naona wote wamekaa ki uhanaharakati sana kuliko kazi zao za sanaa...

Mfano ukiniuliza ni movie gani unaijua aliyofanya steve siwezi kukujibu maa ana uwezo wa kuzungumza kila jambo kuliko kuigiza...
Hata kwa Wakazi ukiniuliza amefanya wimbo gani hit ukamtambulisha kwa watu au ana wimbo gani mzuri siwezi kukujibu maana ana ongea sana kuliko nyimbo zake.....

Steve na Wakazi wote wana matatizo yanayo fanana kabisa...
Wote wanapenda mashindano
Wote wanapenda kiki
Wote wanapenda kuongea sana
Wote fani zao nimewashinda
Itakusaidia nini?
 
Back
Top Bottom