Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ona unavyojichekesha ka sonso kapigwa finga!hahahahaha
Hivi Steve nyerere huwa ni msanii wa sanaa gani?
Na kwenye usanii ndo ninapomtambua Mimi.Kwenye kuongea sana ndiko ninako mtambua mimi....
Umeleta huu uzi sababu alimuiongelea makonda?au ni maoni yako tu binafsi.Wasalaam wana jamvi?
Nimeona leo niulize utoafauti kati ya steve na Wakazi kwenye sanaa hasa mafanikio ni upi?
Binafsi naona wote wamekaa ki uhanaharakati sana kuliko kazi zao za sanaa...
Mfano ukiniuliza ni movie gani unaijua aliyofanya steve siwezi kukujibu maa ana uwezo wa kuzungumza kila jambo kuliko kuigiza...
Hata kwa Wakazi ukiniuliza amefanya wimbo gani hit ukamtambulisha kwa watu au ana wimbo gani mzuri siwezi kukujibu maana ana ongea sana kuliko nyimbo zake.....
Steve na Wakazi wote wana matatizo yanayo fanana kabisa...
Wote wanapenda mashindano
Wote wanapenda kiki
Wote wanapenda kuongea sana
Wote fani zao nimewashinda
Itakusaidia nini?Wasalaam wana jamvi?

heheheh