Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ulitaka aimbe viduku ndo umfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe lazima utakuwa msela sana kitaani kwetu tunawaita masela nnya, hapo wakazi unamuona kma tupac au method man.. Uliza uambiwe wewe unafikiri bigbrother wanamjuaje wakazi kwa mfano? Ruge ndio aliompa connection ya bigbrother kisha wakapozana kibingwa.Acha chuki mzee baba...wakazi hakwenda kule km saplaiz na sizan km ruge anahusika na kuandaa show za big brother kias kwamba kule wapelekewe mtu wasiyemjua. Wangemkatalia mapema tu baada ya kupeleka jina lake kumbuka ile ni show kubwa tulizoea kuona akienda Ay na wengine maarufu je alikosekana msanii mwengine wa kumpeleka baada ya uyo unaesema alijifanya anaijua hela!? Wakati ile show ni shavu zuri la kujitangaza nan angekuwa na ubavu wa kulikataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la ngoma.
Nilichogundua Wabongo tuna ugonjwa wa kutaka kumjua kila mtu. Hizo ngoma ulizotaja ni kali kinoma. Sawa na mimi simfuatilii 21 Savage zaidi ya kusikia makiki yake kwenye vyombo vya habari halafu nije kama mleta mada niandike jamaa hajui kitu. Wasanii wako wengi sana ukiona huguswi na kazi zake ujue wewe sio mlengwa.Abacus
Dengue fever...nominated Kora2016.
Haya maneno nilimwambia jamaa yangu wakazi anakuwa overrated kisa kupiga picha na kina krs one,wizkhalifa,50 nk bt jamaa n mc wa kawaid kabisa.Na porojo nying km baba yake wasira.Japo alichoongea kuhusu Steve ni kweli,lkn kusema kweli Wakazi hata mimi simuelewi ana rap nini.Labda sijui maredio presenters washkaji zake lkn sio mkali kivile,kipindi fulani alikuwa yupo karibu na tamaduni ila naona sasa hivi kama wamemkacha kimtindo manake vile vichwa (ONE,Niki,Singasinga ) vikali vibaya mno.
Hakuna uhalisia wa unachoongea...wasanii njaa bongo ni wengi sana na wana majina na hawajawah kukanyaga south. ..wakati anaenda south wakazi alikuwa na mda mfup tokea atoke US na hakuwa na jina kubwa. Na kumbuka hapo hapo bifu la jay dee na clouds lilikuwa ndo linachemka chin kwa chin na wakazi na jay dee ni mtu na binamu yake. Maaaaaanwewe lazima utakuwa msela sana kitaani kwetu tunawaita masela nnya, hapo wakazi unamuona kma tupac au method man.. Uliza uambiwe wewe unafikiri bigbrother wanamjuaje wakazi kwa mfano? Ruge ndio aliompa connection ya bigbrother kisha wakapozana kibingwa.
Wakazi nimeanza kumfahamu kabla ya kuona hizo picha mnazosema...jamaa ni mkali, ana flow, ana lyrics na pia ni bilingual wa uhakika.Haya maneno nilimwambia jamaa yangu wakazi anakuwa overrated kisa kupiga picha na kina krs one,wizkhalifa,50 nk bt jamaa n mc wa kawaid kabisa.Na porojo nying km baba yake wasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea vizuri tafsiri ya neno"Genius "Kati ya magenius Tz hii ukitoka mzee Chenge nadhani Steve Nyerere anafwata .maana jamaa hana kipaji lakini ndio mwenyekiti wa wasanii..
Yaani amewapiga bao hadi wakina Ray kigosi.
Na jamaa anaishi mjini kimiujiza ujiza tu..
Anakula pesa bila kuwa na kipaji wala nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakazi nimeanza kumfahamu kabla ya kuona hizo picha mnazosema...jamaa ni mkali, ana flow, ana lyrics na pia ni bilingual wa uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why me, lyrically na flo ka mto wami/