Msanii Wakazi amewahi kuimba wimbo gani ukamfanya awe msanii? ana tofauti gani na Steve nyerere?

Msanii Wakazi amewahi kuimba wimbo gani ukamfanya awe msanii? ana tofauti gani na Steve nyerere?

Acha chuki mzee baba...wakazi hakwenda kule km saplaiz na sizan km ruge anahusika na kuandaa show za big brother kias kwamba kule wapelekewe mtu wasiyemjua. Wangemkatalia mapema tu baada ya kupeleka jina lake kumbuka ile ni show kubwa tulizoea kuona akienda Ay na wengine maarufu je alikosekana msanii mwengine wa kumpeleka baada ya uyo unaesema alijifanya anaijua hela!? Wakati ile show ni shavu zuri la kujitangaza nan angekuwa na ubavu wa kulikataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe lazima utakuwa msela sana kitaani kwetu tunawaita masela nnya, hapo wakazi unamuona kma tupac au method man.. Uliza uambiwe wewe unafikiri bigbrother wanamjuaje wakazi kwa mfano? Ruge ndio aliompa connection ya bigbrother kisha wakapozana kibingwa.
 
Abacus

Dengue fever...nominated Kora2016.
Nilichogundua Wabongo tuna ugonjwa wa kutaka kumjua kila mtu. Hizo ngoma ulizotaja ni kali kinoma. Sawa na mimi simfuatilii 21 Savage zaidi ya kusikia makiki yake kwenye vyombo vya habari halafu nije kama mleta mada niandike jamaa hajui kitu. Wasanii wako wengi sana ukiona huguswi na kazi zake ujue wewe sio mlengwa.

Mleta mada kazingua japo ni maoni yake binafsi.
 
Japo alichoongea kuhusu Steve ni kweli,lkn kusema kweli Wakazi hata mimi simuelewi ana rap nini.Labda sijui maredio presenters washkaji zake lkn sio mkali kivile,kipindi fulani alikuwa yupo karibu na tamaduni ila naona sasa hivi kama wamemkacha kimtindo manake vile vichwa (ONE,Niki,Singasinga ) vikali vibaya mno.
Haya maneno nilimwambia jamaa yangu wakazi anakuwa overrated kisa kupiga picha na kina krs one,wizkhalifa,50 nk bt jamaa n mc wa kawaid kabisa.Na porojo nying km baba yake wasira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew kwa ruge ni nani!?
wewe lazima utakuwa msela sana kitaani kwetu tunawaita masela nnya, hapo wakazi unamuona kma tupac au method man.. Uliza uambiwe wewe unafikiri bigbrother wanamjuaje wakazi kwa mfano? Ruge ndio aliompa connection ya bigbrother kisha wakapozana kibingwa.
Hakuna uhalisia wa unachoongea...wasanii njaa bongo ni wengi sana na wana majina na hawajawah kukanyaga south. ..wakati anaenda south wakazi alikuwa na mda mfup tokea atoke US na hakuwa na jina kubwa. Na kumbuka hapo hapo bifu la jay dee na clouds lilikuwa ndo linachemka chin kwa chin na wakazi na jay dee ni mtu na binamu yake. Maaaaaan
Na ukilinganisha wakazi na wasanii unaowakubali wew kwangu mimi wakazi ni nuksi jamaa ni rhymes maker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno nilimwambia jamaa yangu wakazi anakuwa overrated kisa kupiga picha na kina krs one,wizkhalifa,50 nk bt jamaa n mc wa kawaid kabisa.Na porojo nying km baba yake wasira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakazi nimeanza kumfahamu kabla ya kuona hizo picha mnazosema...jamaa ni mkali, ana flow, ana lyrics na pia ni bilingual wa uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya magenius Tz hii ukitoka mzee Chenge nadhani Steve Nyerere anafwata .maana jamaa hana kipaji lakini ndio mwenyekiti wa wasanii..

Yaani amewapiga bao hadi wakina Ray kigosi.
Na jamaa anaishi mjini kimiujiza ujiza tu..
Anakula pesa bila kuwa na kipaji wala nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea vizuri tafsiri ya neno"Genius "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana wimbo unaitwa ABACUS shooting alifanyia huko Chicago, marekani
 
Bilingual sibishi,jamaa ni rapa wa kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Why me, lyrically na flo ka mto wami/
Wanajihami wakiniona komandoo, one man army/
Power to annoint, like magic I play the point/
I work miracles like jesus, just to prove a point/
Believers turned doubters, and doubter believe us faster/
Than the weak hearted that leave us just after/
They faith is tested, leavin em cadiac arrested/
To latter be in peace well rested/
Lyrically I'm the body soul and spirit/
If I scream alluh akbar, you just don't hear it u feel it/
Like on ma head blood of jesus is spillin/
Like crude oil in nigeria, where they speakin in pidgin/
Niliowapita shuleni wote ni ma lawyer na madaktari/
Ila mi nimeweka nguvu zote kwenye kutunga mistari/
Ndo maana kila wimbo nnao utoa ni mkali/
Some doubtin maybe I sold my soul to the iluminati/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom