Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga
Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi
Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini
Huyu kijana Willy anadai kuwa Wasanii wa Kenya hawathaminiki, wasiowathamini wanaona wenyewe kuwa hawana thamani
Binadamu wao wenyewe ndio wanachagua wa kumthamini baada ya kuona mashiko
Kupanda jukwaani kabla ya Diamond Platnumz hakumpi thamani huyo kijana wa hovyo na anaepaswa kukiri ujinga wake
Diamond Platnumz aliondoka baada ya kuona ni jambo la kijinga kubishana na watoto wadogo na sii vinginevyo
Kumekuwa na tetesi kuwa Wakenya wanajipa ukuu kwa kudai wanafahamu lugha ya Kiingereza huu nao ni ulimbukeni wa watu wa hovyo
Bara la Afrika linafahamu kuzungumza lugha ya Kiingereza kwa ufasaha mkubwa sana
Nchi ya Tanzania ina maprofesa wakubwa wa lugha za kigeni ikiwemo Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kilatini, Kireno na nyinginezo nyingi na wamekuwa wakitumia lugha hizi sehemu sahihi hasa kufundisha Vyuo Vikuu vya ndani na nje ya nchi
Nchi ya Tanzania imejifunza heshima na utu ndiyo maana Wanachi wake hawaoni sawa kutumia lugha za nje wakiwa ndani ya Tanzania wakiona kufanya hivyo ni kuidharau lugha ya Kiswahili na watu wake ndiyo maana wamekuwa wakitumia lugha za nje sehemu zenye ulazima wa kuzitumia na sio kwamba hawafahamu Kiingereza
Jambo jingine ni kuwa nchi za nje zimeipenda lugha ya Kiswahili na kujifunza kwa kasi kubwa kwahiyo dunia nzima inaipenda lugha ya Kiswahili mfano Richard Mabala anawakilisha vizuri mapenzi yake makubwa kwa lugha ya Kiswahili tangu zamani na wengineo kama Bongo Zozo nakadhalika
Maendeleo ya Tanzania yamepatikana kwa kupitia lugha ya Kiswahili mfano ujenzi wa Ikulu ya Chamwino imejengwa na Watanzania wakizungumza Kiswahili wakati wa kazi hatukusikia wakichanganya zege kwa kutumia lugha ya kingereza
Kuifahamu lugha ya Kiingereza ni kuwafahamu wazungu ambao wao wanataka kufahamu lugha ya Kiswahili kwahiyo maana yake ni kupishana
Ukubwa wa Wakenya uonekane kupitia maendeleo ikiwemo sanaa, michezo, siasa, biashara, sayansi na tekinolojia na sio lugha
Wajiulize swali baada ya kufahamu lugha ya Kiingereza wakafanya nini? Au ikawapa maendeleo yapi? Je imewapa maendeleo ama ni maneno matupu kama Kasuku?
Kufahamu lugha ya Kiingereza na kutokufanya maendeleo ni sawa na Kasuku anayekariri maneno matupu asiyofahamu yatamsaidiaje
Kwahiyo Diamond Platnumz ili azidi kufika mbali aendelee kuwapuuza watu wa hovyo kama hawa