Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

Lugha ya Kiingereza ndio umekuwa wimbo wao wa kujiona watu bora East Afrika jambo ambalo ni ulimbukeni katika bongo zao. Wamewahi kumsimanga Diamond Platnumz kuwa hafahamu Kiingereza lakini kinachowauma nikuona yupo juu ndio maana wamemfanyia ujinga.

Unachezaje na kuujibu wimbo wa Mpumbavu?
 
Back
Top Bottom