Msanii Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii Mwafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya Streams Milioni 300 katika Audiomack

Msanii Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii Mwafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya Streams Milioni 300 katika Audiomack

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Huku Wakimpongeza Msanii Huyo Kuweka Rekodi Hiyo.

Saa moja Baada Ya Wizkid ayo kufikisha Burna Boy Naye Amefanikiwa Kufikisha Streams Milioni 300 Katika Mtandao Huo Wa Audiomack Na Hii Kumfanya Kuwa Msanii Wa Pili Kuweka Rekodi Hiyo Katika Mtandao Huo.
 
Wanaijeria wanabebwa na number (popln) na lugha. Ndo maana wanaskilizwa sana ila kwa ukanda huu wa afrika kiujumla Diamond platnumz anaogopwa sana kwa perfomance za jukwaaani. Angalia matamasha yote yanayowakutanisha Diamond anawazidi. Ana nyimbo za kuchezeka, anajua kucheza na amsha amsha
 
Hivi hawa wasanii wamekos kabisa maneno ya kuimba kweli? Au tunaabudu mapepo kupitia nyimbo zao? Maana Suchu wimbo mpya mara nimesikia kukalia karoti ni aibu kwakweli
 
Hivi hawa wasanii wamekos kabisa maneno ya kuimba kweli? Au tunaabudu mapepo kupitia nyimbo zao? Maana Suchu wimbo mpya mara nimesikia kukalia karoti ni aibu kwakweli

Watoto wa kike wengi Bongo uandishi ni shida wanachoweza ndio hicho
Ikalie
Ipekeche
Ichomoe
Izungushe
[emoji3][emoji3]
 
Hivi hawa wasanii wamekos kabisa maneno ya kuimba kweli? Au tunaabudu mapepo kupitia nyimbo zao? Maana Suchu wimbo mpya mara nimesikia kukalia karoti ni aibu kwakweli
Mkuu wakukusikia watu wa wasafi fans jiandae matusi.Diamond ninarmpenda wa kuanzia 2014 kurudi mpk anatoka kimuziki huyu wa sasa PAKA MATE ITELEZE KAMA NYOKA PANGONI hapana
 
Back
Top Bottom