Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Wanatuimbia sisi badala ya kuuimbia ulimwengu that's why they have a party after reach 1 Million streams.... SadHongera zao.....tunakomaa na ipake mate iteleze Sad
Hivi hawa wasanii wamekos kabisa maneno ya kuimba kweli? Au tunaabudu mapepo kupitia nyimbo zao? Maana Suchu wimbo mpya mara nimesikia kukalia karoti ni aibu kwakweli
Mkuu wakukusikia watu wa wasafi fans jiandae matusi.Diamond ninarmpenda wa kuanzia 2014 kurudi mpk anatoka kimuziki huyu wa sasa PAKA MATE ITELEZE KAMA NYOKA PANGONI hapanaHivi hawa wasanii wamekos kabisa maneno ya kuimba kweli? Au tunaabudu mapepo kupitia nyimbo zao? Maana Suchu wimbo mpya mara nimesikia kukalia karoti ni aibu kwakweli