20Bro
Member
- Jan 24, 2021
- 53
- 98
wish kusikia zaid kuhusu hii storyThey call it Msasani, we call it home!
Huyu aliyeliwa na mbwa enzi zile za 90's namfahamu vizuri, she used to be my next door neighbour.
Officially nilihama msasani 2012! Ila naipenda na kuiheshimu sana msasani.
MSASANI KWANZA!