ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Waje maeneo ya Mbezi njia ya Goba kuanzia kwa Gody, Mbezi luxury na sasa kuna pub mpya inaitwa NGAO, ukipita usiku unakutana na mapaja yaliyoiva tu mkuu...Tabata kweli wamejazana wanaishi huko sabab ya unafuu wa bei ya nyumba/vyumba vya kupanga na ni jiran na kwenda maeneo mengine. Knyama wengi hawapamudu saiz na mwananyamala slay queens wanapaona uswazi saiz. Ukiwa makumbusho stendi utakutana na sample zote za kutoka kila kona ya jiji. Soon wengi watakimbilia mbezi ya kimara panakua pamoto si muda naona pubs kali zishaanza funguliwa na totoz kibao
...nadhani kuna mahali dunia imefikishwa sio poa hata!!