Msasani, eneo la kimkakati la kingono/ ufuska/zinaa

Msasani, eneo la kimkakati la kingono/ ufuska/zinaa

They call it Msasani, we call it home!

Huyu aliyeliwa na mbwa enzi zile za 90's namfahamu vizuri, she used to be my next door neighbour.

Officially nilihama msasani 2012! Ila naipenda na kuiheshimu sana msasani.

MSASANI KWANZA!
 
Msasani Peninsular!!! Tirdo na CCRBT zipo Maandazi Road au Oysterbay?
Oysterbay mpaka wake una utata sana.

Kwa sababu kwa sasa naona unaanzia Don Bosco Mbuyuni pale kuchukua njia ya kwenda mpaka TIRDO mpaka Uganda Avenue ya baada ya Morogoro Stores.

Lakini pia, kuna Oysterbay Police huku, na kati hapa kuna Namanga na Msasani Mikoroshini.
 
Magunia siku hizi hakuna jambo, malaya kwa mandazi load wanapatikana sana sisi club hasa siku za weekend. na kuhusu wahaya ni buku tatu siku hizi, pia wazuri wamepungua sana, mi nikiwa na migundi nachukua baik yangu nakimbia fasta mwananyamala kule sasa ndio kuna malaya wakali.
 
Oysterbay mpaka wake una utata sana.

Kwa sababu kwa sasa naona unaanzia Don Bosco Mbuyuni pale kuchukua njia ya kwenda mpaka TIRDO mpaka Uganda Avenue ya baada ya Morogoro Stores.

Lakini pia, kuna Oysterbay Police huku, na kati hapa kuna Namanga na Msasani Mikoroshini.
Mtaa wa Ali Bin Said ndio mpaka wa Msasani na Oyster Bay
 
They call it Msasani, we call it home!

Huyu aliyeliwa na mbwa enzi zile za 90's namfahamu vizuri, she used to be my next door neighbour.

Officially nilihama msasani 2012! Ila naipenda na kuiheshimu sana msasani.

MSASANI KWANZA!
Karibu Mafleti, jioni nitakuwepo Damta
 
Karibu Mafleti, jioni nitakuwepo Damta
Duh, maflet., mchicha! Obey! Ningekuja Mkuu ila tatizo Niko mbali sana najiji.! Mkirikiti, masemen., Gtyre(kwabanachila), makangangira, nagari mabovu!
 
Mtaa wa Ali Bin Said ndio mpaka wa Msasani na Oyster Bay
Kuna kipande fulani cha Oysterbay kiko upande wa pili wa mtaa wa Ali bin Said.

Ukienda mwisho wa Karume Road huku kabla hujashuka Namanga.
 
Mimi kwa DSM sijaona sehem kuna mafuska na malaya kama TBT. 50% ya madada wanaojiuza mitandaoni na maofisini wanaishi TBT.
Tabata kweli wamejazana wanaishi huko sabab ya unafuu wa bei ya nyumba/vyumba vya kupanga na ni jiran na kwenda maeneo mengine. Knyama wengi hawapamudu saiz na mwananyamala slay queens wanapaona uswazi saiz. Ukiwa makumbusho stendi utakutana na sample zote za kutoka kila kona ya jiji. Soon wengi watakimbilia mbezi ya kimara panakua pamoto si muda naona pubs kali zishaanza funguliwa na totoz kibao
 
Back
Top Bottom