Msc Finance and Accounting

Lusam

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Posts
195
Reaction score
88
Hbari wana JF.
Nilifanya Advance Diploma in Taxation IFM, Post Graduate Diploma in Accountancy IFM sasa nataka kusoma Masters ya Accounting and Finance UDSM lakini nimesikia unatakiwa kuwa na Experince ya kazi ya course unayotaka kusoma na mimi sina experince ya kazi kwenye Account and Finanace zaidi ya Taxation tu.
SWALI- je nitapata Admission kwa maelezo niliyotoa.
 
Siwezi saidia lolote maana mm mambo sijui ya post graduate huwa sijui ni nn?

Mm najua unasoma associate unaenda Bachelor unaenda Masters then PhD!Najua mpangilio wa elimu za Magharibi!

Post graduate si ndiyo Masters au ni bachelor?
 
Hongera sana, nadhani experience wanayoongelea kazini siyo lazima iwe specific kiasi cha kutofautisha taxation na finance or accounting, nakushauri u-apply na ninadhani utaruhusiwa hakika
 
Mkubwa apply unapita.
 
Siwezi saidia lolote maana mm mambo sijui ya post graduate huwa sijui ni nn?

Mm najua unasoma associate unaenda Bachelor unaenda Masters then PhD!Najua mpangilio wa elimu za Magharibi!

Post graduate si ndiyo Masters au ni bachelor?

Basi kakae hukohuko magharibi na uchangie kimagharibi.
Jitu nzima kujishaua hata haifai.
ovyoooooooooo.
 
sasa mkuu siungevunga tu kama huna la kusaidia, post yako imekaa kimbea mbea , angalia huko magharibi wasije wakakuniaje..
 
Msomi usiyejua hata ya kuwa context of orientation ina ku limit kuchangia elimu yako imekusaidia nini!!!!!!!?????
 
Msomi usiyejua hata ya kuwa context of orientation ina ku limit kuchangia elimu yako imekusaidia nini!!!!!!!?????

Mkuu!

Nimesoma nje ya TZ !Hawana haya mambo ya post graduate NA KWA KWELI NINGEPENDA SANA KUJUA maana yake ni nn!Could you pls help me what is this?
 
Basi kakae hukohuko magharibi na uchangie kimagharibi.
Jitu nzima kujishaua hata haifai.
ovyoooooooooo.

What is this?Nimekukosea nn hadi utumie lugha ya hovyo hovyo na ya ajabu kama hii dhidi yangu?What the hell?

Sijawahi mkosdea heshima mtu yyt hapa na sitegemei wewe kunikosea mm adabu!JF ituunganishe na isiwe chanzo cha watu wengine kutumia vibaya haki zao za kuandika!

Hata mm nina weza kuandika kama ulivyo andika na hapa sio mahali pake!Jiheshimu tafadhali na sio wewe tu ndiyo bingwa wa kuandika lugha za mitaani!

Acha uswahili!
 
sasa mkuu siungevunga tu kama huna la kusaidia, post yako imekaa kimbea mbea , angalia huko magharibi wasije wakakuniaje..

Lengo lilikuwa kusaidiwa kujua maana ya post graduate na haya mengine uliyoandika ni ya hovyo hovyo tu!
 
Aaaaaaa habari ndo hiyo hutaki unaacha.
Elimu ya kimagharibi imeshuka sana.
Msomi wa kimagharibi edit basi post yako mierror kibao msomi wa USA.
Wewe ndo mswahili post ilijaa uporoto na majibu nliyokupa sahihi kabisa kwako.
 
Unachoongea ni uharo tu!
Manzese girl akipata tablet inakuwa balaa tu mitaani!Likely una matatizo kwa wiki hii ya maumbile ya kina dada na scientifically mkiwa kwenye siku hizo huwa mna kuwa na hormones imbalances

Sijaona kilichokufanya u jump kwenye issue hii na kama issue hapa ni kusoma Ulaya usinilaumu mm bali mlaumu mzazi wangu aliyekuwa ananilipia ada;kunilaumu mm ni kunionea tu!
 
Malafyale pole! Ila angalia post yako ya mwanzo ndo ulalamike
kabwe makanika

Ndugu yangu lengo langu lilikuwa kujua tu maana ya post graduate ni nn maana nimewahi ambiwa hii na jamaa zangu lkn huwa sijui ni elimu ipi hasa inaitwa hiyo!Lkn huyu dada badala ya kunifundisha akageuza mada kuanza kunikashfu bila sababu za msingi!

Sijawahi mkosea heshima mtu hapa na nakuja hapa kufurahi tu na watz wenzangu!Dada huyu HANA adabu
 
Last edited by a moderator:
Siwezi saidia lolote maana mm mambo sijui ya post graduate huwa sijui ni nn?

Mm najua unasoma associate unaenda Bachelor unaenda Masters then PhD!Najua mpangilio wa elimu za Magharibi!

Post graduate si ndiyo Masters au ni bachelor?

Post Graduate wanasoma masomo yote ya Master isipokuwa ile sehemu ya "Dessertation" ndio hawafanyi. Kwa hiyo huyu anaenda kufanya repetation sana sana ambacho atakuwa hajafanya ni "Research and Dessertaion"
 
Ndachuwa ndugu yangu nashukuru sana kwa kunifundisha!Nashukuru sana tena sana

kwa hiyo akifanya research na kuwasilisha dessertation na Profs wako wakikubali hii post graduate sasa itaitwa Masters?Unaweza kuwa post graduate miaka yako yote kama hujawasilisha hizo tafiti na DESSERTATION au kuna muda ukifika sheria itakulazimu lzm ufanye?
 
Sina maana kuwa ukiwasilisha dessertation wanakupa Master; yeye alijiandikisha kwenye kozi ya PGD na siyo masters maana si vyuo vyote vye hadhi ya kutoa master. Kwa vyuo vinavyotoa master unafanya 4 core subjejcts, 2 elective subjects na Reserch + Dessertation. Kama utamaliza 4 core subjects na kushindwa elective hutaweza kufanya dessertation hivyo watakutunikia "Certificate". Kama ukamaliza core subjects + elective ukashindwa "Dessertation" unatunukiwa PGD. (Kwa mujibu wa chuo ambacho mimi nasoma)
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi huu!Nimejifunza kitu kikubwa toka kwako tena bure kabisa!
Thx you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…