MSD inalipa mshahara kwa mfanyakazi hewa (Laurean Bwanakunu)

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.

LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma .

IMG_20210816_060541.jpg
 
Uteuzi umetenguliwa, mkataba wake ulikuwa wa muda gani? Kama muda haujaisha na mkataba haujavunjwa ana halali ya kuendelea kulipwa
 
Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.

LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Kama mshahara unaendelea kulipwa na MSD, huo ni UFISADI
 
Mbona wako wengi sana mtaani huku. Wanakula mshahara, bado hawajapangiwa kazi nyingine
 
Uteuzi umetenguliwa, mkataba wake ulikuwa wa muda gani? Kama muda haujaisha na mkataba haujavunjwa ana halali ya kuendelea kulipwa
Huyu alikuwa mfanyakazi wa fixed contract na siyo permanent and pensionable ambaye anateuliwa na Rais. Angekuwa ni permanent and pensionable baada ya kutenguliwa angerudi kwenye position yake ya zamani kama Fulchesmi Mramba wa TANESCO.

Hivyo Rais akikutengua ndiyo mwisho wa ajira na mshahara. Kinachoendelea MSD kumlipa ni UFISADI tu.
 
Harafu tunatozwa tozo za ovyovyo kwa sbsb utawala huu unekuwa shmaba la Bibi..nathami tungekuwa na Taliban yetu
 
Huyu alikuwa mfanyakazi wa fixed contract na siyo permanent and pensionable ambaye anateuliwa na Rais. Angekuwa ni permanent and pensionable baada ya kutenguliwa angerudi kwenye position yake ya zamani kama Fulchesmi Mramba wa TANESCO.

Hivyo Rais akikutengua ndiyo mwisho wa ajira na mshahara. Kinachoendelea MSD kumlipa ni UFISADI tu.
Hata Mataragio wa TPDC alipotenguliwa mshahara wake ulikoma, pia Dau alipotenguliwa NSSF mshahara aliokuwa analipwa na NSSF uliondolewa.

Kinachoendelea MSD ni UFISADI!!
 
Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.

LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Kwani kutenguliwa cheo chako,ndio umekutwa na hatia ya jinai?

Huyo CEO wa zamani Bado kesi yake haijafika mwisho,lazima aendelee kupokea mshahara,"inoccent until proven guilty"it's a universal law principal.

We ulitaka familia yake iteseke wakati hajahukumiwa?

Harafu kumbuka Mwendazake nae alikuwa mtu wa hovyo tu,alifukuza watu bila kufata sheria,aliifsnya nchi kama kampuni binafsi
 
Ukitenguliwa kuwa Mwalimu Mkuu unaendelea kuwa Mwalimu wa kawaida na kupata mshahara wako mpàka utakapopangiwa kazi na Mamlaka husika. Ukifukuzwa ualimu unakoma kupata mshahara
Stahiki (remuneration) za ile nafasi ndiyo hukoma mara baada ya kuondolewa madaraka uliyonayo.
Lkn mshahara ni haki yake, mpaka ajira itakapokoma.
 
Back
Top Bottom