chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Ndivyo ilivyo anaendelea kula salary akiwa mabusu.kwa hio hata jambazi sabaya atakua bado analipwa mshahara wake kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo ilivyo anaendelea kula salary akiwa mabusu.kwa hio hata jambazi sabaya atakua bado analipwa mshahara wake kama kawaida
kazi iendeleeMnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Nimeuliza hiyo fixed contract yake ilikuwa ya muda gani? Nani anayejua kwamba imeisha au imevunjwa? Je kama haijaisha wala kuvunjwa sio halali yake kulipwa as per contract?Huyu alikuwa mfanyakazi wa fixed contract na siyo permanent and pensionable ambaye anateuliwa na Rais. Angekuwa ni permanent and pensionable baada ya kutenguliwa angerudi kwenye position yake ya zamani kama Fulchesmi Mramba wa TANESCO.
Hivyo Rais akikutengua ndiyo mwisho wa ajira na mshahara. Kinachoendelea MSD kumlipa ni UFISADI tu.
Hawa ndio wanapenda CCM iendelee na hawataku kusikia Katiba mpya majizi haya.Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Check facts zako upya. Huyu hana kesi kuanzia June 2020 na siyo mfanyakazi wa MSD. Yuko mtaani na miahe zake lakini anakula mshahara wa MSD.Kwani kutenguliwa cheo chako,ndio umekutwa na hatia ya jinai?
Huyo CEO wa zamani Bado kesi yake haijafika mwisho,lazima aendelee kupokea mshahara,"inoccent until proven guilty"it's a universal law principal,
We ulitaka familia yake iteseke wakati hajahukumiwa?
Harafu kumbuka Mwendazake nae alikuwa mtu wa hovyo tu,alifukuza watu bila kufata sheria,aliifsnya nchi kama kampuni binafsi
Wamtafutie kazi ya kufanya sio kumpa mshahara bila kazi. Wahusika na huu ubadhilifu yafaa wachukuliwe hatua.Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Tatizo wengi walikuwa wanaenda kwa mihemko, akitumbuliwa mtumishi wa umma wanafikiri mshahara unasimamishwa, ukitaka kuipaka matope legacy fanya uchunguzi ni wangapi wamelipwa kwa style hii🐒Taratibu za kutenguliwa ziko vipi? kwani kutenguliwa ni sawa na kufukuzwa kazi?
Hiyo fixes Contract has no duration?kama wameona kuvunja mkataba itawagharimu hela nyingi,watakua sahihi kumlipa mshahara mpaka mwisho mwa mkatabaHuyu alikuwa mfanyakazi wa fixed contract na siyo permanent and pensionable ambaye anateuliwa na Rais. Angekuwa ni permanent and pensionable baada ya kutenguliwa angerudi kwenye position yake ya zamani kama Fulchesmi Mramba wa TANESCO.
Hivyo Rais akikutengua ndiyo mwisho wa ajira na mshahara. Kinachoendelea MSD kumlipa ni UFISADI tu.
Mkataba wake unasomeka vipi? Baada ya kuteuliwa mtu hupewa mkataba.Tusiongelee porojo weka mkatabaStahiki (remuneration) za ile nafasi ndiyo hukoma mara baada ya kuondolewa madaraka uliyonayo.
Lkn mshahara ni haki yake, mpaka ajira itakapokoma.
Ushahidi wa kuwa analipwa uko wapi?Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Mkataba wake unasomeka vipi? Baada ya kuteuliwa mtu hupewa mkataba.Tusiongelee porojo weka mkataba
Kwani kutenguliwa cheo chako,ndio umekutwa na hatia ya jinai?
Huyo CEO wa zamani Bado kesi yake haijafika mwisho,lazima aendelee kupokea mshahara,"inoccent until proven guilty"it's a universal law principal.
We ulitaka familia yake iteseke wakati hajahukumiwa?
Harafu kumbuka Mwendazake nae alikuwa mtu wa hovyo tu,alifukuza watu bila kufata sheria,aliifsnya nchi kama kampuni binafsi
Ok hiyo barua Ni mkataba pia hueleza terms zote.Kuanzia mshahara kipindi Cha kutumika na endapo hutataka kuendelea kwa sababu zozote iwe ugonjwa ,kifo etc au mteuzi atakupangia kazi ingine au kukutengua kabla ya muda inakuwaje.Nilishawahi ona barua ya mteuliwa mmojawapo aliteuliwa toka private sector kuwa mkuu wa idara moja ya serikaliHamna kitu kama mkataba wa uteuzi, ila kuna mkataba wa ajira. Uteuzi hufanywa kwa barua pekee.
Ok hiyo barua Ni mkataba pia hueleza terms zote.Kuanzia mshahara kipindi Cha kutumika na endapo hutataka kuendelea kwa sababu zozote iwe ugonjwa ,kifo etc au mteuzi atakupangia kazi ingine au kukutengua kabla ya muda inakuwaje.Nilishawahi ona barua ya mteuliwa mmojawapo aliteuliwa toka private sector kuwa mkuu wa idara moja ya serikali
Tofauti yao Sabaya yeye analipwa na Nyapala kila siku mara giza linapoingia tu.kwa hio hata jambazi sabaya atakua bado analipwa mshahara wake kama kawaida