Mimi mwenyewe nashangaa yani mtu ateuliwe tena na raisi alaf tena kuwe na mkataba ,kwa maana iyo ata hawa madc na wakurungenzi nao wana mikataba maana na wao wanateuliwa na raisi au mikataba ya kuteuliwa ni kwa baadhi ya taasisi ,na kama ni kweli kunakua na mikataba kwanini baada ya kutenguliwa aendelee na mshahara wake wa kazi ambayo afanyi yani cheo kimoja wanalipwa watu wawili kwanini baada ya kutenguliwa wasurudi katika nafasi zao kama walitoka uko ili alipwe mshahara anaofanyia kazi uku kulipa mishahara miwili kwa watu wawili tena mmoja katenguliwa ata kama ni sheria basi ni ufisadiHamna kitu kama mkataba wa uteuzi, ila kuna mkataba wa ajira. Uteuzi hufanywa kwa barua pekee.