Hakuwahi kiwa mfanyakazi wa pale kusema labda alirudi kwenye idara yake.Huyo alitenguliwa uteuz wake, hajafukuzwa kazii elewa hilo
Contract yake ya ukurugenzi ilikuwa ya muda gani?Hakuwahi kiwa mfanyakazi wa pale kusema labda alirudi kwenye idara yake.
kwa hio hata jambazi sabaya atakua bado analipwa mshahara wake kama kawaidaHuyo alitenguliwa uteuz wake, hajafukuzwa kazii elewa hilo
Kama mshahara unaendelea kulipwa na MSD, huo ni UFISADIMnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Hapana,kutenguliwa sio kufukuzwaTaratibu za kutenguliwa ziko vipi? kwani kutenguliwa ni sawa na kufukuzwa kazi?
Huyu alikuwa mfanyakazi wa fixed contract na siyo permanent and pensionable ambaye anateuliwa na Rais. Angekuwa ni permanent and pensionable baada ya kutenguliwa angerudi kwenye position yake ya zamani kama Fulchesmi Mramba wa TANESCO.Uteuzi umetenguliwa, mkataba wake ulikuwa wa muda gani? Kama muda haujaisha na mkataba haujavunjwa ana halali ya kuendelea kulipwa
Hata Mataragio wa TPDC alipotenguliwa mshahara wake ulikoma, pia Dau alipotenguliwa NSSF mshahara aliokuwa analipwa na NSSF uliondolewa.Huyu alikuwa mfanyakazi wa fixed contract na siyo permanent and pensionable ambaye anateuliwa na Rais. Angekuwa ni permanent and pensionable baada ya kutenguliwa angerudi kwenye position yake ya zamani kama Fulchesmi Mramba wa TANESCO.
Hivyo Rais akikutengua ndiyo mwisho wa ajira na mshahara. Kinachoendelea MSD kumlipa ni UFISADI tu.
Ukitenguliwa kuwa Mwalimu Mkuu unaendelea kuwa Mwalimu wa kawaida na kupata mshahara wako mpàka utakapopangiwa kazi na Mamlaka husika. Ukifukuzwa ualimu unakoma kupata mshaharaKama mshahara unaendelea kulipwa na MSD, huo ni UFISADI
Kwani kutenguliwa cheo chako,ndio umekutwa na hatia ya jinai?Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu kwa zaidi ya mwaka sasa kama Mkurugenzi Mkuu. Hii ni hujuma View attachment 1893960
Stahiki (remuneration) za ile nafasi ndiyo hukoma mara baada ya kuondolewa madaraka uliyonayo.Ukitenguliwa kuwa Mwalimu Mkuu unaendelea kuwa Mwalimu wa kawaida na kupata mshahara wako mpàka utakapopangiwa kazi na Mamlaka husika. Ukifukuzwa ualimu unakoma kupata mshahara