Msekwa: Kwa yanayoendela sasa katiba mpya ni lazima

Msekwa: Kwa yanayoendela sasa katiba mpya ni lazima

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200

"...mabadiriko haya yote ni muhimu yatengenezewe katiba mpya ama tukamilishe ile ama tuanze upya lakini katiba mpya ni muhimu sasa."

Pius Msekwa.
 
Ingependeza kama angeenda kulisema hili kwenye kile kikao chao cha juzi, kisha akutane na yule mjinga aliyesema watanzania hawali Katiba Mpya, hivyo anaona haina maana.
Wale hawawezi kujadili masuala yenye tija kwa Taifa. Kila mmoja anajaribu kufurahisha meza kuu. Ndiyo maana yule Mwamba aliamua kujilipua kwa kuwaita Chama cha Mambuzi.
 
Ingependeza kama angeenda kulisema hili kwenye kile kikao chao cha juzi, kisha akutane na yule mjinga aliyesema watanzania hawali Katiba Mpya, hivyo anaona haina maana.
Anayesema watanzania hawataki katiba mpya ni Upuuzi tu in Jk's voice
 
Tunahitaji katiba mpya, swali ni jee hao wanasiasa wataifuata ipasavyo? Tofauti na hapo hata katiba ishushwe na malaika kutoka mbinguni mambo yatakua Yaleyale
 
Back
Top Bottom