Nchi hii bwana. Kuwa speaker wa Bunge ni kujua kanuni na uelewa wa kanuni una tokana na kuwa bungeni na kuzi soma. Sasa ina chekesha na kwa kweli kusikitisha unapo ona mtu ni mbunge miaka nenda rudi lakini hajua kanini za Bunge.
Hata mimi ninamshangaa sana huyu mama kwani anaonekana very weak how can a person have all this time experience bado akavurunda kama yeye? Either of the two is true about her; one kwakuwa hayuko free in mind (kama wanavyohisi kawekwa) then anashindwa kutumia uzoefu wake ndiyo maana anaonekana kuwa hajui alitendalo maana anafanya kwa terms of reference za waliomweka ambazo saa nyingine zinaenda contrary to kanuni za bunge AMA yeye tu ndo yuko weak na hivyo kutokana na hilo kwenye key position kama hiyo lazima apwaye na ionekane maana yeye hasa ndiyo key player katika bunge.
Kwa mtu yeyote mwenye kupenda ukweli na kutofanya ushabiki kwenye serious issue huyu mama ameonyesha kuwa so weak kama speaker wa bunge kila mwenye macho na akili ameona. Atabisha lakini ukweli uko wazi, hata kama anatetea basi atumie akili kutetea utaona watu kama kina Chenge walikuwa wanatetea maslahi yao lakini kiakili mno siyo rahisi mtu asiye makini kutambua lakini huyu huhitaji akili kutambua kwamba yuko weak.
Msekwa has a point na kwakweli amemshauri kikubwa kwamba she need to devote her time kusoma sheria si kwalengo la kupata cheti bali kuimprove efficiency katika nafasi yake, kwamaana nyingine hata yeye anaona kuna gap hapo kwa mama speaker ila kama kawaida inferiority complex ya akina mama wengi wakipewa ushauri na men inaweza kumfanya asichukue huo ushauri.
Nina kitu kingine nje ya hili na linatokana na experience yangu. Nchi yetu most of senior decision makers walikuwa/na bado ni from Mzumbe; kwakweli niwe mkweli wakati mwingine tukubali tu hawa watu by many standards walikuwa under qualified Mzumbe mnisamehe sana but would want to be true to myself na kweli kwa ambao hamtajishughulisha at your own time and effort basi mtakuwa mna under perform. I had been interacting with some of these people kuna tatizo jamani tukubali tu you need to do something to improve your performance nadhani sina uhakika something was wrong kwenye expertise wao walio wa train. Hilo si kosa la wanafunzi ama chuo bali la wakati kwani mandate ya chuo ilikua kutoa viongozi lakini nafikiri wakati wazungu walipoondoka then hakukuwa na exit strategy nzuri so I dont mean to disqualify anybody ila kwenye accademics hakuna politics if you are underqualified basi individual efforts ni muhimu kuziba gap ili uweze ku improve performance.