AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Dodoma kituo kikuu nanenane ila abilia 80% wapo CBE,machame,mnada mpya,iringa road. DAR kutuo kikuu mbez magufuli ila 70% abilia wapo kalibu na shekilango,mbagala nk.IRINGA kituo kikuu ni igumbilo ila 80% abilia wapo kalibu na ipogolo,iringa mjini