Shekilango, CBE na Iringa mjini.Dodoma kituo kikuu nanenane ila abilia 80% wapo CBE,machame,mnada mpya,iringa road. DAR kutuo kikuu mbez magufuli ila 70% abilia wapo kalibu na shekilango,mbagala nk.IRINGA kituo kikuu ni igumbilo ila 80% abilia wapo kalibu na ipogolo,iringa mjini
Ukimaliza unaingia Saint Thomas chap
IPO UELEKEO WA ARUSHA ROAD ?
Nipo hapa Machinga complex, nauza mitumba. Ngoja jioni nikifunga kiwanda changu nitakwenda huko kujionea yaliyomo.Yes... chimbo limetulia sana .....
Powa mkuu.... hotojuta..vitoto vya mipango vimejaa hapo, na hv weekend ni balaa....Nipo hapa Machinga complex, nauza mitumba. Ngoja jioni nikifunga kiwanda changu nitakwenda huko kujionea yaliyomo.
Najiandaa kutokaPowa mkuu.... hotojuta..vitoto vya mipango vimejaa hapo, na hv weekend ni balaa....
Dodoma inategemea unatoka wapi kwenda wapi. Mtu kama natoka dar, Moro au Tanga kama naenda nzugun mpaka kisasa hapo ni nane nane ila kama naenda Makulu, mpaka veyula huko lazima ushukie CBE, wanaotoka Arusha na manyara hao lazima washuke Machame au CBE, kama unatoka iringa hapo jua ni maghorofani. Kama unatoka Kanda ya ziwa hapo jua ni mnada mya au CBE. So it depends wapi unatoka na wapi unaendaDodoma kituo kikuu nanenane ila abilia 80% wapo CBE,machame,mnada mpya,iringa road. DAR kutuo kikuu mbez magufuli ila 70% abilia wapo kalibu na shekilango,mbagala nk.IRINGA kituo kikuu ni igumbilo ila 80% abilia wapo kalibu na ipogolo,iringa mjini