AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
kwanini unatembea na watoto wadogo ?Hapo machame sio mbaya.... halafu nasogea malaika napata kuku choma... usiku kuna tuvitoto chuchu saa 5
kwanini unatembea na watoto wadogo ?
nitumie locationSasa haya mashangazi ya nini masta.... hapo niliposema kuna vitoto vya chuo cha mipango kibao tu ..... mwaka jana nilikuwa huko kama wiki mbili..... kwa kweli si haba .....
A trip to remember
sema watz tumezoa disorganization ila ni mradi mzuri sana.Inabidi tukubali tu kwamba mradi wa stendi kuu ulishafeli kwenye swala la uhalisia nchi hii.
Disorganization gani sasa? Mradi ni mzuri kwenye makaratasi lakini kwenye uhalisia umefeli.sema watz tumezoa disorganization ila ni mradi mzuri sana.
Ukiwashauri watakujibu usiwe na wasiwasi..."mji si muda utatanuka kama bukta ya kuchezea yoga na kufika stendi mpya"...!Nadhani mamlaka zilipaswa kushilikiana na wadau wa usafirishaji kupanga eneo la stendi kuliko kujiamulia kujenga majengo ya mabilioni nje ya miji
Kwa hiyo,inavyoonekana ni kwamba nia ya serikali ni kuwakomoa,kuwatesa,kuwachosha na kuwamaliza kiuchumi wananchi hadi waiogope na hapohapo kuitii kwa hofu kubwa!?Angalau stendi ya moro msamvu ipo njiapanda ila nyingine kwakweli majanga na tuwashukuru wenye mabasi kua na ofisi katikat ya mji
nitumie location
na mimi niende nikajionee
IPO UELEKEO WA ARUSHA ROAD ?Shuka hapo machame, panda boda mwambie akupeleke new malaika Anex
Naona pale SGR kuna stand nayo inajengwa sojui ile itakuwa ya daladala ama.Angalau stendi ya moro msamvu ipo njiapanda ila nyingine kwakweli majanga na tuwashukuru wenye mabasi kua na ofisi katikat ya mji
Ukimaliza unaingia Saint Thomas chapHapo machame sio mbaya.... halafu nasogea malaika napata kuku choma... usiku kuna tuvitoto chuchu saa 5