GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa?
Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja kuipinga/kupinga na kuonekana kama vile hali ni shwari, mkisahau kuwa wanaonipa hizi taarifa zenu nyeti ni wenzenu na mpo nao 24/7 kiutendaji.
Bernard Morisson wala haumwi au hana matatizo ya kifamilia huko kwao, bali ukweli ni kwamba amegoma hadi mumlipe hela yake mliyomkopa (ya usajili) baada ya kutokea Simba SC.
Lakini pia amewataka mumhakikishie nafasi ya kucheza chini ya Kocha Nabi ambaye GENTAMYCINE nina taarifa za uhakika kuwa hamtaki na wala hakumtaka mchezaji huyo kutokana na tabia zake za utovu wa nidhamu zisizorekebishika.
Na kilichomkwaza zaidi mchezaji Bernard Morisson ni Kitendo cha kugundua wazi kuwa Kocha Nabi si tu hamtaki bali hampendi pia, na anataka aachwe dirisha hili dogo ili nafasi yake ijazwe na ama na Yacouba au Kambole.
Mwambieni mchezaji wenu Bernard Morisson kuwa GENTAMYCINE namwomba kesho tukutane pale kwa demu wake (goma lake) mla 'powder' kama ambavyo hata yeye naye anakula vile vile (huku wakilewa hovyo) ndani ya Gari aina ya IST ya kinchechede wake huyo DJ maarufu wa kike aliyepita Clouds FM na sasa yuko media ya msanii wa muziki tajiri Tanzania aishiye Mbezi Beach Maua, wakiwa wamepanga katika nyumba ya Rubani mahiri wa ATCL.
Tafadhali wale wana JamiiForums (kikundi maalum cha kunishambulia na kumchukia daima GENTAMYCINE hapa JamiiForums kutokana na uwasilishaji wake wa kipekee, wivu na nyota yake kali kiumaarufu iliyobarikiwa vyema na Mwenyezi Mungu), ambao pia mliowekeza muda wenu huo wa kipumbavu (kipang'ang'a), msiache kuuchangia huu uzi ili kuzidi kunifanya niwe imara na juu zaidi yenu, sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
Cc: Smart AJ