Msemaji Ali Kamwe na Yanga SC kwani kusema kuwa Bernard Morisson kagoma hadi alipwe chake mlichomkopa mnaogopa nini?

hakuna anayekuchukia kwakuwa tu wewe ni simba na unaichukua yanga,ni mpira bro huo na hizo ndio tabia zake,wala usihofu kabisa
 
Kolo kama kolokoloni moja limeongea[emoji41][emoji41]
 
Saluti the great[emoji109]
 
Mbezi beach kwa rubani hiyo Tangibovu na namjua binti mmoja mfanyakazi wa mawingu anaishi pale huyo dj naona mtandao unasumbua kusearch. Anyways GSM hela ndogondogo hizo hazimshindi labda useme lingine la kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri I'd ya kerosene kuinuka baada ya hii kupigwa ban
 
The great bhna, nakukubali sana kwenye uwasilishaji wa hoja, kumbe na kujimwambafai uko vema mkuu[emoji847]
 
 
Hakuna aliyethubutu kujibu hoja zaidi ya kutukana na kumwaga povu!! Gentamycine amewashika pabaya!!
 
Hakuna aliyethubutu kujibu hoja zaidi ya kutukana na kumwaga povu!! Gentamycine amewashika pabaya!!
Nadhani majibu yalipatikana tarehe 4 mwezi huu. Huyo huyo Morrison anayedaiwa kaigomea Yanga alikuwepo kwenye benchi la Yanga na aliingia kama Sub dhidi ya Prisons.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Jasusi la soka[emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…