Msemaji Mkuu wa serikali atoa uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu Ajali ya ndege Bukoba

Msigwa sijui namuonaje hana radha tena ya usemaji na hana test ya usemaji wenye viwango. wamtafutie kitengo kingine basi.
 
Ni hadithi za kila siku. Serikali inawafanya wananchi wote hawana akili:

1) Report ya wizi wa fedha BOT mara baada ya kifo cha Magufuli iko wapi?

2) Report ya Polisi waliomwua mfanyabiashara Mtwara iko wapi?

3) Report ya moto uliounguza soko iko wapi?

Hata hii itaishia hivyo hivyo. Labda report itakayopatikana ni ile ya kampuni ya ATR, maana hiyo haitakuwa chini ya Serikali ya Tz.
 
Tume zikiundwa ni sehemu ya upigaji pesa
 
Kama ikibainika kuwa ndege ya ajali ilikuwa haina hitilafu yoyote kwenye mifumo yake, basi lawama imwangukie Rubani Mkuu aka Captain, sababu alikuwa briefed kuhusu hali ya hewa inayozunguka Bukoba Airport wakati ndege imetua Mwanza, lakini akaamua kuendelea na safari hadi Bukoba.
 
Yaani baraza la mawaziri linafanya kikao kutuambia hayo? Nchi hii ina ukosefu wa viongozi sahihi
 

..Na serikali ilaumiwe kwa UZEMBE walioonyesha wakati wakati wa uokoaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…