Chief safari ilikuwa Dsm to Mz kupitia BukobaKama ikibainika kuwa ndege ya ajali ilikuwa haina hitilafu yoyote kwenye mifumo yake, basi lawama imwangukie Rubani Mkuu aka Captain, sababu alikuwa briefed kuhusu hali ya hewa inayozunguka Bukoba Airport wakati ndege imetua Mwanza, lakini akaamua kuendelea na safari hadi Bukoba.